Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,718
- 15,347
Hahhaha pacha tunashukuru sanaa, lkn nahisi waweza kutudumbukiza mtaroni ww hahahaPacha Mkishajuana niite kwani nitajitolea kuwapeleka kwa Mkapa. 😛😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhaha pacha tunashukuru sanaa, lkn nahisi waweza kutudumbukiza mtaroni ww hahahaPacha Mkishajuana niite kwani nitajitolea kuwapeleka kwa Mkapa. 😛😛
Basi pacha nitakusapoti usijali ni kwa sabab yako tu lkn sijui sasa ukifungwa sijui ntaendelea kukusapoti sijui nitajiunga na wale daaa mtihani huu jamanPacha 😳😳😳
Nini lakini?
Hahahaaaa. Lol.Hahhaha pacha tunashukuru sanaa, lkn nahisi waweza kutudumbukiza mtaroni ww hahaha
Najua Pyramids wakipata bao ni lazima utashangilia tu Pacha. 😀😀Basi pacha nitakusapoti usijali ni kwa sabab yako tu lkn sijui sasa ukifungwa sijui ntaendelea kukusapoti sijui nitajiunga na wale daaa mtihani huu jaman
😭😭😭😭😭😭😭basi nimeacha tabia mbaya pacha hahaha nisamehe nmekuahidi nitakusapoti mtoto mzuri usijaliHahahaaaa. Lol.
Nitawafikisha salama kabisa Pacha hofu ondoa kabisaaaaa.
#ilatabiambayahiyopacha.
😛😛😛😛 nitajitahidi nishangilie kidogo kidgo usinioneNajua Pyramids wakipata bao ni lazima utashangilia tu Pacha. 😀😀
😀 😀 😀 😀 Mwaka huu utateseka sana Mtani.Sawa imebahatisha kucheza na timu kubwa kama yanga...tarehe 27 ndo itafahamika nani mkubwa nani mdogo..kama hujui bei ya mchezaji mmoja wa pyramid unanunua timu yote ya yanga na kulipa yale madeni ya kina dante
Sawa Pacha. 🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭basi nimeacha tabia mbaya pacha hahaha nisamehe nmekuahidi nitakusapoti mtoto mzuri usijali
Niko poa mamito, sijui wwSawa Pacha. 🙏🙏
Vp lakini uko poa?
Mimi niko mzima kabisa Pacha.Niko poa mamito, sijui ww
Tarehe 27 usizime data mtani...kitakachotokea ni fedheha kubwa sana 😂 😂😀 😀 😀 😀 Mwaka huu utateseka sana Mtani.
Poa pacha wa mieMimi niko mzima kabisa Pacha.
Usijali Mtani. Nitakutag uje upate updates.Tarehe 27 usizime data mtani...kitakachotokea ni fedheha kubwa sana 😂 😂
Mechi 3. Hio nyingine ni record ya mech walizocheza kuanzia januay...prevoius msimu na mashindano mengine.Kwa hyo huko Misri msimu Wa ligi 2019/20 wameshacheza mechi 25 au!?
Uwe na wakati mzuri Pacha.Poa pacha wa mie
Mtani ki ukweli siwezi kuwaombea mema...nikikudanganya hapa eti nitawaombea mema mungu mwenyew atanishangaa kwa unafiki wanguUsijali Mtani. Nitakutag uje upate updates.
#achakutuwangiabasimtani
Hahahahaaaaa. Haya bana mtani taimuwiliteli.Mtani ki ukweli siwezi kuwaombea mema...nikikudanganya hapa eti nitawaombea mema mungu mwenyew atanishangaa kwa unafiki wangu
Mpigwe tuuuHahahahaaaaa. Haya bana mtani taimuwiliteli.
Ndio kilichobakia hiki kutuombea njaa.Mpigwe tuuu
Tutawapiga nje ndani. Niamini mimi na hayo maneno yanguMiss you too jirani. Timu yetu ndio ishapangwa na Waarabu jirani.
Mambo niaje?