Kumbe kombe la looser sio rahisi kama walivyokuwa wanafikiria wale wafuasi wa mangungu!
Wametolewa ulimi na Aly ahli tripoli timu ambayo ilichezea kichapo toka kwa biashara ya Mara mwaka juzi!
Simba imekuwa kama timu ya daraja la chini kwa mbinu za kocha wao fadlu kwenda kujaza lundo la wachezaji kwenye goli lao ili wasifungwe, pamoja na kujaza wachezaji karibu 8 waliokuwa wanacheza nyuma ya Mpira bado Aly ahli walipata nafasi za kufunga lakini ubutu wao kwenye eneo la mwisho kuliwanyima magoli!
Wachezaji wa Simba walikuwa awakai na Mpira ata kwa dk 2 washanyang'anywa wanaanza kuutafuta Tena kwa tochi!
Nilisema Simba ilisajili wachezaji wa mechi ndogo na Awana uzoefu wowote na mechi za kimataifa nafikiri jana tumeona vizuri, Joshua mutale alikuwa kama mchezaji wa ndondo cup, kina Ahua, Debora, pale katikati walikuwa kama watumishi hewa tu!
Fadlu kama anajilinda dhidi ya timu ya kawaida kama tripoli vipi akikutana na mziki ata wa pyramid si atatamani aingie na yeye aongeze idadi ya kumsaidia kipa golini!
Dk 90 timu inayojiita ni kubwa imeshindwa kupiga short on target ata Moja golini kwa mpinzani ni aibu!
Walikuwa wanaicheka yanga kwamba Iko kombe la looser lakini yanga walionyesha Africa na Dunia kwamba ni timu ya aina Gani na walifika fainali kwa swaga pia! Walicheza Mpira mkubwa unaoeleweka, akuna mechi walipaki basi ata Moja!
Sasa wenzetu wanafanya sub za wakina Valentino mashaka wanarukaruka kama bisi anacheza utafikiri anacheza na Lipuli ya Iringa!
Yanga wapewe heshima yao wameset standard yao ambayo wao wakifunga goli Moja wanaona kama vile wamepoteza mechi na wengine wakipata sare uku wakiwa nyuma muda wote wanashangilia na shampeni wanakunywa ndio maisha yalivyo🤣🤣!