Yanga atafungwa 3-1 na Al hilal

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
392
Reaction score
798
Mechi itaanza kwa Yanga kutangulia kupata bao, jamaa watafanya come back na ku level score board.

Jamaa watapiga chuma cha pili na cha tatu. Badae watapiga chuma cha nne ila itkuwa off side. Mwishoni ubao utasoma Yanga 1- Alhilal 3.

Wanangu wa Jangwani tujiandae kupindua meza kibabe.

Baada ya mechi tutaurudia huu uzi.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Ndivyo ilivyo uwezekano wa kupigwa nje ndani upo.
 
Huu ni mkeka? Utabiri ? Au ramli?

Kama unauwezo wa kutabiri kiasi hiko si muhindi angeshafilisika tayari[emoji23][emoji23][emoji23]

Yanga hawezi fungwa na timu zaifu kama Al hilal.
 
Dj dj diiijeiiii walete wanathimba na kibao cha "wanga"
 
Hivi kwanini mechi ya Yanga vs Al Hilal imekuwa inazungumzwa sana humu? Kila nyuzi Yanga kufungwa, Yanga kufungwa. Hii inaonesha ni jinsi gani watu wamekuwa na shauku ya kuiona Yanga inafungwa kwenye mechi ya kimashindano
 
Hahaaa utasubiri sana kama unadhani yanga atafungwa na hao wasudan....
 
Hivi kwanini mechi ya Yanga vs Al Hilal imekuwa inazungumzwa sana humu? Kila nyuzi Yanga kufungwa, Yanga kufungwa. Hii inaonesha ni jinsi gani watu wamekuwa na shauku ya kuiona Yanga inafungwa kwenye mechi ya kimashindano
Hali kama hii inaonyesha Ki saikolojia Mbumbumbu fc wamesha kata tamaa, wanaona Yanga imesha pitisha mwaka mzima bila kufungwa Sasa hasira zinakua juu.
Wanabahati mbaya kwakua quality ya Yanga Kwa Sasa sirahisi kufungwa na Al hilal tegemea nyuzi nyingi za kuiponda Yanga ila Moyoni wanaujua ukweli.
Balaa litazizi baada ya mbumbumbu fc kupasuliwa Tena tarehe 23 October.
Tegemea shutuma na dhihaka kutoka Kila Kona ya Mbumbumbu fc.
 
Ngoja tusubiri.

Japo Mimi ni Simba lakini Akiba ya maneno.
 
Hivi kwanini mechi ya Yanga vs Al Hilal imekuwa inazungumzwa sana humu? Kila nyuzi Yanga kufungwa, Yanga kufungwa. Hii inaonesha ni jinsi gani watu wamekuwa na shauku ya kuiona Yanga inafungwa kwenye mechi ya kimashindano
Rage siyo mjinga! Aliwaza mbali sana kwa kuwaita mashabiki wa aina hii mbumbumbu!
 
Uchawi wa Kolo kama Kolo
 
Tunza hii..!! Na hilo moja la Yanga atafunga nani?
 
Hivi kwanini mechi ya Yanga vs Al Hilal imekuwa inazungumzwa sana humu? Kila nyuzi Yanga kufungwa, Yanga kufungwa. Hii inaonesha ni jinsi gani watu wamekuwa na shauku ya kuiona Yanga inafungwa kwenye mechi ya kimashindano
Wameishindwa Yanga ndani, hasa Mayele anapotetema..!! We angalia jinsi walivyoshangilia kiatu cha George Mpole, unaweza dhani alikuwa ni mchezaji wa Simba..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…