Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Hebu agiza K vant hapo ulipo nitalipaMechi itaanza kwa Yanga kutangulia kupata bao, jamaa watafanya come back na ku level score board.
Jamaa watapiga chuma cha pili na cha tatu. Badae watapiga chuma cha nne ila itkuwa off side. Mwishoni ubao utasoma Yanga 1- Alhilal 3.
Wanangu wa jangwani tujiandae kupindua meza kibabe.
Baada ya mechi tutaurudia huu uzi
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
leo sisi wanachama wa friichachi tuna msiba hatujaenda kanisaniKwanza umeipeleka kanisa familia yako?