Yanga atafungwa 3-1 na Al hilal

Yanga atafungwa 3-1 na Al hilal

Mechi itaanza kwa Yanga kutangulia kupata bao, jamaa watafanya come back na ku level score board.
Jamaa watapiga chuma cha pili na cha tatu. Badae watapiga chuma cha nne ila itkuwa off side. Mwishoni ubao utasoma Yanga 1- Alhilal 3.

Wanangu wa jangwani tujiandae kupindua meza kibabe.

Baada ya mechi tutaurudia huu uzi

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Hebu agiza K vant hapo ulipo nitalipa
 
Maneno uhumba na kuwa kweli.
Ila kwa Yanga hii ya Mayele na Mzee Mpili sitayaafiki haya maneno ya mtoa mada. Hiki kichapo labda kitatokea kule Sudan, sio hapa sebuleni kwetu
 
[emoji24][emoji24][emoji24]
Screenshot_20221002-170141.jpg
 
Back
Top Bottom