Yanga atapokea kichapo kwenye Derby

Yanga atapokea kichapo kwenye Derby

Huu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.

Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.

WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Nenda na Ahmed Ally
 
Wewe nakuweka kundi moja na muhasibu OKW BOBAN SUNZU nitarudi hapa jmosi usiku alamsiki
 
Huu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.

Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.

WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Tarehe 20 sio mbali sana..... [emoji2960] Utakua unaisikia tu Yanga
 
Huu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.

Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.

WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Ile Mechi ya 1989 usiifananishe na Mechi nyingine. Hakuna cha maana kilifanyika na kina Makelele zaidi ya Yanga kutimiza maelekezo ya FAT. Nchi hii Hakuna ushabiki bila Simba na Yanga kuwa kwenye ligi moja. Kuna watu huwa nawasikia wanajifariji eti ili soka likue Simba na Yanga zife Kwanza. Hawajui historia. Yanga alipoteteleka na kuzaliwa Pan African imara Hakuna cha maana kilichotokea, na Simba ilipoteteleka Hadi kukaribia kushuka daraja, Yanga walilazimika kugharimia ubingwa uliobebwa na Coastal Union ili mtani wao asishuke daraja.
Wakati huo Pamba ilikuwa Moto na ilikuwa kama Tawi la Simba. Lakini isinheweza kuchukua nafasi ya Simba.
 
Hiyo hadithi haina ushahidi wowote
 
Mkifungwa muwe mnakubali, ingekuwa maelekezo Sahau Kambi angefukuzwa?
Ndio maana wanasema huko wenye akili ni wawili.
 
Back
Top Bottom