Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tutatengeneza baada ya UshindiTengenezeni team..
Acheni ujinga
Nenda na Ahmed AllyHuu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Wewe nakuweka kundi moja na muhasibu OKW BOBAN SUNZU nitarudi hapa jmosi usiku alamsikiHuu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Tarehe 20 sio mbali sana..... [emoji2960] Utakua unaisikia tu YangaHuu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Ile Mechi ya 1989 usiifananishe na Mechi nyingine. Hakuna cha maana kilifanyika na kina Makelele zaidi ya Yanga kutimiza maelekezo ya FAT. Nchi hii Hakuna ushabiki bila Simba na Yanga kuwa kwenye ligi moja. Kuna watu huwa nawasikia wanajifariji eti ili soka likue Simba na Yanga zife Kwanza. Hawajui historia. Yanga alipoteteleka na kuzaliwa Pan African imara Hakuna cha maana kilichotokea, na Simba ilipoteteleka Hadi kukaribia kushuka daraja, Yanga walilazimika kugharimia ubingwa uliobebwa na Coastal Union ili mtani wao asishuke daraja.Huu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Hiyo hadithi haina ushahidi wowoteIle Mechi ya 1989 usiifananishe na Mechi nyingine. Hakuna cha maana kilifanyika na kina Makelele zaidi ya Yanga kutimiza maelekezo ya FAT. Nchi hii Hakuna ushabiki bila Simba na Yanga kuwa kwenye ligi moja. Kuna watu huwa nawasikia wanajifariji eti ili soka likue Simba na Yanga zife Kwanza. Hawajui historia. Yanga alipoteteleka na kuzaliwa Pan African imara Hakuna cha maana kilichotokea, na Simba ilipoteteleka Hadi kukaribia kushuka daraja, Yanga walilazimika kugharimia ubingwa uliobebwa na Coastal Union ili mtani wao asishuke daraja.
Wakati huo Pamba ilikuwa Moto na ilikuwa kama Tawi la Simba. Lakini isinheweza kuchukua nafasi ya Simba.
Yanga itapiga watu ndoige za kutosha ππππͺ
Mkifungwa muwe mnakubali, ingekuwa maelekezo Sahau Kambi angefukuzwa?Ile Mechi ya 1989 usiifananishe na Mechi nyingine. Hakuna cha maana kilifanyika na kina Makelele zaidi ya Yanga kutimiza maelekezo ya FAT. Nchi hii Hakuna ushabiki bila Simba na Yanga kuwa kwenye ligi moja. Kuna watu huwa nawasikia wanajifariji eti ili soka likue Simba na Yanga zife Kwanza. Hawajui historia. Yanga alipoteteleka na kuzaliwa Pan African imara Hakuna cha maana kilichotokea, na Simba ilipoteteleka Hadi kukaribia kushuka daraja, Yanga walilazimika kugharimia ubingwa uliobebwa na Coastal Union ili mtani wao asishuke daraja.
Wakati huo Pamba ilikuwa Moto na ilikuwa kama Tawi la Simba. Lakini isinheweza kuchukua nafasi ya Simba.