YANGA atashinda 2-0/2-1/3-1 kwa mkapa

YANGA atashinda 2-0/2-1/3-1 kwa mkapa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kama una optn za aina hii kwenye kampuni ya bet weka mzigo
7 odds
Mda si mrefuu wanayanga tu atinga robo final na kufurahia matunda ya kocha wetu

All dbest hizo juu ndio matokeo tarajiwa

Rgds
Pdidytz
 
Ni must win game Cha msingi tujae hadi uwanja useme basi
Tiketi zinunuliwe sana
Nb:Kuna team itacheza ikishabikiwa na wachina wanaokarabati uwanja pekee
 
Kama una optn za aina hii kwenye kampuni ya bet weka mzigo
7 odds
Mda si mrefuu wanayanga tu atinga robo final na kufurahia matunda ya kocha wetu

All dbest hizo juu ndio matokeo tarajiwa

Rgds
Pdidytz
Wachina na mende wa chooni wakisaidia na minyoo/funza
 
Back
Top Bottom