Yanga atashinda dhidi ya zesco

Yanga atashinda dhidi ya zesco

Jiandaen vizuri maan uko zesco washachukua chumba
IMG-20190924-WA0089.jpeg
 
Hawawezi kutoboa...zesco wanashambulia muda wote..hawanaga option ya kudefend wakiwa home ground...jiandaen kisaikolojia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Leo Young Africans, anachukua ushindi dhidi ya Zesco. Mungu saidia tucheze vema uwanjani.
 
Back
Top Bottom