Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga 2 zesco 0 hilo halina mjadala
Mbona mnamchanganya Mungu nyie vyuraYanga ya kimataifa 3 Zesco 0
Mungu alichanganywa kwenye match ya UD SongoMbona mnamchanganya Mungu nyie vyura
Ha ha ha duuJiandaen vizuri maan uko zesco washachukua chumbaView attachment 1217629
Mikia wanaweweseka Yanga wanaingia makundi
Anaweza akashinda njaa,,,,Naiona hii game yanga anaenda kupindua matokeo ingawa wengi hawawapi nafasi ingawa naona atacheza vizuri Sana nakuwashangaza watu