Yanga atashinda dhidi ya zesco

Anaanza huku nyuma Fackson Kapumbu, anatambaliza, kwake Kamusokooo anacontrol anamtafuta Owino, Owino anapenyeza mpenyezo maridhawa anatokea Kamusoko, Kamusoko tena..

Namna gani hapa Yanga wanapoteana, naona dimba la katikati Kamusoko amedhibiti vilivyo

Haya sasaaaaa inapigwa krosi kwa karibu kabisa na mstari wa D anatokea Jesse Were, Wereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Oooooooooooooooo Yesssssssssss..[emoji460][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja niwaite wabishani wako
Sapta Sapta sambo Ghazwat Sesten Zakazaka
 
Adui muombee njaa hata kama ana nguvu.
 
Hawawezi kutoboa...zesco wanashambulia muda wote..hawanaga option ya kudefend wakiwa home ground...jiandaen kisaikolojia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
akishambulia muda wote anapigwa vizuri tu..game saa ngapi mkuna Nazi wa msimbazi?
 
Hawa Vyura FC [emoji196] [emoji196] bado wana Imani kuwa watafanikiwa Kuukumbatia Mbuyu (Zesco)?

Pole kwa maumivu ya leo CC: Shadeeya
Ni wivu tu. 🀣🀣🀣🀣

Tutawashangaza wengi leo ukiwepo wewe Mtani. 😎😎😎😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…