Yanga B SC Wiki ya Mwananchi: Tunawaleta Kaizer Chiefs

Yanga B SC Wiki ya Mwananchi: Tunawaleta Kaizer Chiefs

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Niko hapa napiga story na ndugu Arafat ananitaarifu Wiki ya Wananchi msimu huu wanataka ipambwe na Wazulu kutoka Kusini.

Siku ya jana walipewa mualiko rasmi hivyo wanategemea mrejesho siku ya leo.

Naona Yanga SC wameshaanza kujipembua sasa hivi. Mechi ya hadhi ya CAFCL inafanyika Wananchi Day.

Asante Eng. Hersi na timu yako nzima.
 
Yanga wamshauri huyu jamaa naye aungane na msafara, tunamkumbuka vizuri sana akiwa na Pirates.
JamiiForums-1526832095_720x569.jpg


Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom