Yanga bado hawajakata tamaa na Ubingwa wa Afrika

Yanga bado hawajakata tamaa na Ubingwa wa Afrika

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,252
Wa kimataifa Yanga ya Tanzania bado wana matumaini ya kutwaa Ubingwa Kwa Vilabu Afrika. Kimahesabu Yanga ilipaswa hata isicheze mchezo uliobaki lakini ndio hivyo kelele zilikuwa nyingi sana.

Nawashauri Yanga mpira sio maneno Mpira ni taaluma. Mpira wa maneno umepitwa na wakati na mpira sio historia.
 
Wa kimataifa Yanga ya Tanzania bado wana matumaini ya kutwaa Ubingwa Kwa Vilabu Afrika.Kimahesabu Yanga ilipaswa hata isicheze mchezo uliobaki lakini ndio hivyo Kelele zilikuwa nyingi sana .Nawashauri Yanga mpira sio maneno Mpira ni taaluma .Moira wa maneno umepitwa Na wakati Na mpira sio historia.
Naona unatutafuta kaka, soon utatupata
 


Young Africans SC 3 vs 0 African Lyon.

Watu wameshaanza kuchanganyikiwa na vipigo vya Yanga vinavyo tarajiwa kuendelea... Hahaha
 
Naona unatutafuta kaka, soon utatupata
Kwa kweli huyu anatubip, mtu badala ya kujiandaa kwenda kazini, saa 12 ameposti mambo ya Yanga, inaonekana hakulala kabisa huyu jamaa.

Ngoja tuendelee na kazi kwanza tutarejea baadaye.
 
Jamani nyie si wakimataifa? Mbona mnakwepa? Oh Tp mazembe tutawafunga oh yanga chama kubwa yako wapi chezea TP mazembe wewe
 


Young Africans SC 3 vs 0 African Lyon.

Watu wameshaanza kuchanganyikiwa na vipigo vya Yanga vinavyo tarajiwa kuendelea... Hahaha
Juzi nimesikia washabiki wa simba na azam wakilalamikia waamuzi
 
Hii post utakuwa uliiandika kwenye karatasi jumanne iliyopita umekumbuka ukaiposti leo.
 
Mkuu hapana jibu hoja mmekata tamaa au bado? MNA mechi moja mkononi itawavusha nyie ni wakimataifa
 
Yaan yanga tz ni kama celtic yaan huwa inchukua ubingwa kila mwaka n yanga ni hivyo, sema huko kwenye tim za wenyewe ndo mgogoro....
 
Back
Top Bottom