mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Naona unatutafuta kaka, soon utatupataWa kimataifa Yanga ya Tanzania bado wana matumaini ya kutwaa Ubingwa Kwa Vilabu Afrika.Kimahesabu Yanga ilipaswa hata isicheze mchezo uliobaki lakini ndio hivyo Kelele zilikuwa nyingi sana .Nawashauri Yanga mpira sio maneno Mpira ni taaluma .Moira wa maneno umepitwa Na wakati Na mpira sio historia.
Kwa kweli huyu anatubip, mtu badala ya kujiandaa kwenda kazini, saa 12 ameposti mambo ya Yanga, inaonekana hakulala kabisa huyu jamaa.Naona unatutafuta kaka, soon utatupata
Juzi nimesikia washabiki wa simba na azam wakilalamikia waamuzi
Young Africans SC 3 vs 0 African Lyon.
Watu wameshaanza kuchanganyikiwa na vipigo vya Yanga vinavyo tarajiwa kuendelea... Hahaha