fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Nenda kafe kiume huko, hii ni level ya mtoano sio mbwembwe za kijingajapo tumeshinda,na hapa natoa pongezi kwa wote,wachezaji, makocha,na viongozi lakini ukweli ni kwamba yanga bado sana,ama hatuna wachezaji wa kutufikisha fainali au mbinu zetu ni za kizamani
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Wachezaji ndo Tia maji Tia maji hasa defence na wingaJapo tumeshinda na hapa natoa pongezi kwa wote, wachezaji, makocha na viongozi lakini ukweli ni kwamba yanga bado sana, ama hatuna wachezaji wa kutufikisha fainali au mbinu zetu ni za kizamani
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Timu ambazo ni tia maji tia maji zishatolewa na zimebaki zinazojiweza ndio maana pumba zote zinapanda toyo kesho kwenda Lindi kufukuzia nafasi ya pili kwenye ligiWachezaji ndo Tia maji Tia maji hasa defence na winga
defence line ya yanga ndio timu pekee iliyozuia na kufungwa magoli machache mpaka leo kweny michuano ya kimataifa na kweny ligi.Wachezaji ndo Tia maji Tia maji hasa defence na winga