Yanga bado sana

Yanga bado sana

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Japo tumeshinda na hapa natoa pongezi kwa wote, wachezaji, makocha na viongozi lakini ukweli ni kwamba yanga bado sana, ama hatuna wachezaji wa kutufikisha fainali au mbinu zetu ni za kizamani

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ni lazima timu zote zifike fainali? Wametolea FAR Rabat, Pyramids, nk!! Je, na hao wana vikosi dhifu?
 
una elimu na ujuzi juu ya masuala gani kwanza..?? isijekuwa una ujuzi wa kilimo,halafu unazungumza kuhusu mpira... wewe endelea kuwa shabiki tu, uchambuzi waachie wengine
 
Japo tumeshinda na hapa natoa pongezi kwa wote, wachezaji, makocha na viongozi lakini ukweli ni kwamba yanga bado sana, ama hatuna wachezaji wa kutufikisha fainali au mbinu zetu ni za kizamani

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Wachezaji ndo Tia maji Tia maji hasa defence na winga
 
Nme huzunishwa na kutolewa kwa far rabat ili bidi twende Morocco tuka safishe makosa ya makolo
 
Wachezaji ndo Tia maji Tia maji hasa defence na winga
Timu ambazo ni tia maji tia maji zishatolewa na zimebaki zinazojiweza ndio maana pumba zote zinapanda toyo kesho kwenda Lindi kufukuzia nafasi ya pili kwenye ligi
 
Wachezaji ndo Tia maji Tia maji hasa defence na winga
defence line ya yanga ndio timu pekee iliyozuia na kufungwa magoli machache mpaka leo kweny michuano ya kimataifa na kweny ligi.

Winga ya yanga ambayo tukimzungumzia jesus moloko amesaidia ushindi kwa asilimia kubwa mpaka leo hata mechi ya Nigeria ameisaidia vya kutosha upatikanaji wa goal la mayele.

Unapima uwezo wa timu kwa mechi ambayo Yanga alishamaliza game tangu Nigeria
 
Back
Top Bottom