Yanga bila Ngoma, Kamusoko yapania kuinyoa Sagrada leo

Bora hata yanga wangefungwa tu. Ili tuondokane na hizi taabu, mie siku ya tatu leo sijaonja sukari, nikategemea leo nitaiona mechi ya yanga kwenye tv ili nipunguze machungu.
Teh teh teh
 
Full time Yanga 2 wao Waangola 0
Wafungaji Msuva na Matheo Antony
 
Yanga mnanipa raha nyie mpaka bhaaaaasi! Hivi Simba ni watani zetu au wapinzani wetu... Iwe mwisho kujiita wapinzani, nyie ni watani bhana, wapinzani angalau anaweza Kuwa Azam
 
Huyu Matheo huwa kama hayupo vile ila nadhani anaanza kuja uzuri.
Ila ni mzuri jaribu kumfuatilia mkuu, mi huwa namfuatilia sana akiingia ana impact, sema anaingizwaga muda mfupi. Hivi yanga walimuibua wapi?
 
Ila ni mzuri jaribu kumfuatilia mkuu, mi huwa namfuatilia sana akiingia ana impact, sema anaingizwaga muda mfupi. Hivi yanga walimuibua wapi?
Nadhani unguja kama kumbukumbu yangu ipo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…