Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh tehBora hata yanga wangefungwa tu. Ili tuondokane na hizi taabu, mie siku ya tatu leo sijaonja sukari, nikategemea leo nitaiona mechi ya yanga kwenye tv ili nipunguze machungu.
mhh nanyi maneno hayawaishi.....!!Unaanza vipi kupata stress kama unashabikia yanga?
Si unajua raha ya ushindi mtani?nyinyi tukianza kusema mnatukumbusha zile tano nanyi huwa hamna maneno?mhh nanyi maneno hayawaishi.....!!
timu ya wananchiYanga go Yanga go..
Hahahaah sawa mtani hongereniSi unajua raha ya ushindi mtani?nyinyi tukianza kusema mnatukumbusha zile tano nanyi huwa hamna maneno?
Hongerenitimu ya wananchi
ahsante sana, na poleni pia!Hongereni
Shukran ndugu yangu ila....hamia huku ndugu sasa hivi nawe ungekuwa unapongezwa na sio kupongeza.Hahahaah sawa mtani hongereni
Huyu Matheo huwa kama hayupo vile ila nadhani anaanza kuja uzuri.Full time Yanga 2 wao Waangola 0
Wafungaji Msuva na Matheo Antony
Ila ni mzuri jaribu kumfuatilia mkuu, mi huwa namfuatilia sana akiingia ana impact, sema anaingizwaga muda mfupi. Hivi yanga walimuibua wapi?Huyu Matheo huwa kama hayupo vile ila nadhani anaanza kuja uzuri.
Nadhani unguja kama kumbukumbu yangu ipo sahihi.Ila ni mzuri jaribu kumfuatilia mkuu, mi huwa namfuatilia sana akiingia ana impact, sema anaingizwaga muda mfupi. Hivi yanga walimuibua wapi?
Magoli ya leo....Goli la pili nimelielewa sana....