Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukomenti ukiwa Umelewa Yanga anazidiwa Point 2.Hahaah tuliza hasira mkuu kufungwa ni sehemu ya mpira...
Bado Yanga Yuko poa anazidiwa point Moja tu na Simba wasiwasi wako nn?
Yanga bingwa
Fikiria una ofisa wa timu ambae hana uwanja , anatumia viwanja vya timu nyingine ambazo anazotukana na kuzisimanga. Kwanini ishindikane mwenye uwanja kukuhujumu kwa namna hii au Ile ili ushindwe? Unaemtukana anamiliki funguo za uwanja na vyumba vya kubadilisha nguoHahaah tuliza hasira mkuu kufungwa ni sehemu ya mpira...
Bado Yanga Yuko poa anazidiwa point Moja tu na Simba wasiwasi wako nn?
Yanga bingwa
Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao. Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga.
Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
Bado akili zitawakaa sawa.Huu ni mwanzo tu.Ali Kamwe alidai labda Yanga ifungwe na Mwenyezi Mungu.Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao. Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga.
Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
Wacha visingizio vya kitoto.Mmefungwa kimpira.Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kulipilizwa kitu. Wachezaji hawakuwa kwenye akili zao.
Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao. Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga.
Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
kule kwetu kuna msemo unasema huwezi kwenda kulala nyumbani kwa mwanaume mnaegombania mchumba. Azam nae ni mshindani kwenye ligi anaeutaka ubingwa na ndiye mwenye funguo za uwanja na vymbani.Mtoa mada Bado unasafari ndefu hiyo ndo umeona ni sababu aiseee!!
Hukuona wachezaji muhim hawakuwepo nyuma ??kule kwetu kuna msemo unasema huwezi kwenda kulala nyumbani kwa mwanaume mnaegombania mchumba. Azam nae ni mshindani kwenye ligi anaeutaka ubingwa na ndiye mwenye funguo za uwanja na vymbani.
Akili za kijinga.Huo msemo umeanza mwaka huu?Wacheni visingizio vya uwanja.Ujinga wenu ni kudhani kwamba hamna wa kuwafunga.Mpira hauna hivyo.Mpira ni mchezo wa makosa na anayetumia vizuri makosa ya timu nyingine ndio anayeshinda.kule kwetu kuna msemo unasema huwezi kwenda kulala nyumbani kwa mwanaume mnaegombania mchumba. Azam nae ni mshindani kwenye ligi anaeutaka ubingwa na ndiye mwenye funguo za uwanja na vymbani.
Bado utazungumza vizuri.Akili zitawarudia sasa mtajua football ni mchezo wa aina gani.kwani na washambuliaji hawakuwepo? kima ni hivyo ilipaswa iwe 3-3 maana washambuliaji woooote walikuwepo