Yanga bila uwanja wenu acheni nyodo, mtafungwa TU kwenye viwanja vya watu

Yanga kufungwa shida ni hizi hapa:
1. Wachezaji wengi muhimu kukosekana.
2. Uchovu wa wwchezaji, mechi nyingi z a ligi, CAF champion na kimataifa kwenye mataifa yao. YANGA ina wwchezaji wengi wa timu za taifa.
3. Uwanja wa adui kutumika kama uwanja wa nyumbani Na uwanja wa Azam fc. Hata Gamondi analalamikia jambo hili.
4. Timu za msimu huu ni imara
5. Kauli za msemaji wa Yanga zinasanabisha timu kufanyiwa vibaya.
 
Kile kikosi kipana hakipo tena? Sasahivi sababu ni key players kutokuwepo si ndio? Ila aziz ki alikuwepo.
 
Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao.

Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga.

Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
Tuache kutengeneza taarifa negative zenye kuegemea kwenye furaha yako, kuyumba kwa timu ni kitu cha kawaida, je Arsenal, Man city na Real madrid wanachezea vichapo, wako kwenye vuwanja vya watu au wameacha uchawi??, watanzania hatutaendelea sababu tuko kujenga negative na lawama muda wote, simba wakati inayumba nao waliacha kutumia uchawi?, tukue kifikra kwa maendeleo ya taifa na mpira wetu.
 
Unauliza swali kama mtu mwenye IQ ndogo kupitiliza. Kikosi kipana haimaanishi Kila mchezaji anaweza kucheza namba yoyote uwanjani. Yaani unataka mshambuliaji aweze kucheza golikipa kama golikipa hayupo, beki acheze nafasi ya mshambuliaji kama washambuliaji hawapo, nk. Kama Bacca, Job, Yao, Andabwile wote hawapo nyuma ulitaka dube akacheze beki kwakuwa Yanga ina kikosi kipana? Ujinga TU.
 
Acha ujinga kaka, ulisikia lini EPL Kuna timu iliwasha moto katikati ya uwanja siku ya mechi Tena kwenye kiwanja cha ugenini nje ya nchi? Umesikia lini ulaya Kuna timu imepewa adhabu kwa vitendo vya kichawi? Ulisikia lini EPL timu imepita mlango wa nyuma? Ni lini ulaya Kuna timu imekataa kuingia chumba cha kubadilisha nguo, kufukia hilizi, kumwaga maji uwanjani, nk. Tanzania hivyo vyote vipo. Bodi ya ligi isinhekuwa na kanuni ya ligi kuhusu uchawi kama hakuna uchawi.

Shombo la Ally Kamwe baada ya timu pinzani kufungwa ni hatari sana kwa Yanga. Abadilishwe pia au aache au apunguze.
 
Yaani unataka kusema Yao, Baca, jJob wanacheza namba ?
 
Kuwakosa kwa wakati mmoja Bacca, Yao, Job, Boka, Andabwile ni sawa na Simba kuwakosa Chemalone, Hamza, Mohamed Hussein, Kapombe na yule beki yao mwingine kwa wakati mmoja. Yanga tulieni sababu ya kufungwa tunaijua sote.

Hata hivyo, sababu ya Yanga kufunga magoli machache msimu huu inatokana na yafuatayo
1.. timu zimesajili vizuri kuzuia kufungwa magoli mengi na YANGA.
2. Yanga kusajili wachezaji wengi pale mbele (musonda, Mzize, chama, pacome, dube na baleke). Hawa wachezaji ni manguli huko walikotoka na wao wenyewe wanajiona hivyo. Kukaa benchi au kufanywa substitution Katikati ya mechi kunawakasilisha na kuwatia aibu na hatimaye kuwaondelea confidence yao. Wanacheza kwa wasiwasi kuogopa kufanywa mabadiliko. Hata Gamondi anachanganyikiwa kuwa na rundo la wachezaji wanaostahili kucheza. Hii inamfanya awe karibu nao kuliko kawaida ili kuwaridhisha hata kama wako benchi (lose control on them kwa kuwa too much friendly)
3. Wachezaji wengi wa Yanga kuitwa timu zao za taifa. Wachezaji wakirudi kwenye ligi wako hoi sana na wengine wanarejea na majeraha madogo ambayo hawataki kuyasema kuogopa kukosa namba
4. Mechi nyingi za ligi za katibu karibu.
5. Kukosekana kwa wachezaji muhimu kwasababu ya kadi na injury.
6. Uwanja wa Azam. Tupunguze kejeli zilizopitiliza kwa wenye viwanja. Huwezi kusema uwanja wa Azam complex au KMC ni wako kuliko yule mwenye uwanja watu wakakuacha uendelee kusema utumbo kama huo. Lazima tuheshimu wenye uwanja badla ya kusema KMC ni wetu tunalipa Kodi au Azam ni wetu sisi Yanga.
 
Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao.

Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga.

Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
 
Acha ujinga kaka, ulisikia lini EPL Kuna timu iliwasha moto katikati ya uwanja siku ya mechi Tena kwenye kiwanja cha ugenini nje ya nchi? Umesikia lini ulaya Kuna timu imepewa adhabu kwa vitendo vya kichawi? Ulisikia lini EPL timu imepita mlango wa nyuma? Ni lini ulaya Kuna timu imekataa kuingia chumba cha kubadilisha nguo, kufukia hilizi, kumwaga maji uwanjani, nk. Tanzania hivyo vyote vipo. Bodi ya ligi isinhekuwa na kanuni ya ligi kuhusu uchawi kama hakuna uchawi.

Shombo la Ally Kamwe baada ya timu pinzani kufungwa ni hatari sana kwa Yanga. Abadilishwe pia au aache au apunguze.
Lete ushahidi wa hivyo ndugu na acha kuropoka
 
Ila hizi timu za Simba na Yanga zinazingua sana... wao sio watu wakuanza kulialia kisa viwanja vyakuchezea mpira karne hii.
 
Back
Top Bottom