Tuache kutengeneza taarifa negative zenye kuegemea kwenye furaha yako, kuyumba kwa timu ni kitu cha kawaida, je Arsenal, Man city na Real madrid wanachezea vichapo, wako kwenye vuwanja vya watu au wameacha uchawi??, watanzania hatutaendelea sababu tuko kujenga negative na lawama muda wote, simba wakati inayumba nao waliacha kutumia uchawi?, tukue kifikra kwa maendeleo ya taifa na mpira wetu.Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao.
Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga.
Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
Maana ya kujiita kikosi kipana ni nini sasa?Hukuona wachezaji muhim hawakuwepo nyuma ??
Unauliza swali kama mtu mwenye IQ ndogo kupitiliza. Kikosi kipana haimaanishi Kila mchezaji anaweza kucheza namba yoyote uwanjani. Yaani unataka mshambuliaji aweze kucheza golikipa kama golikipa hayupo, beki acheze nafasi ya mshambuliaji kama washambuliaji hawapo, nk. Kama Bacca, Job, Yao, Andabwile wote hawapo nyuma ulitaka dube akacheze beki kwakuwa Yanga ina kikosi kipana? Ujinga TU.Kile kikosi kipana hakipo tena? Sasahivi sababu ni key players kutokuwepo si ndio? Ila aziz ki alikuwepo.
Acha ujinga kaka, ulisikia lini EPL Kuna timu iliwasha moto katikati ya uwanja siku ya mechi Tena kwenye kiwanja cha ugenini nje ya nchi? Umesikia lini ulaya Kuna timu imepewa adhabu kwa vitendo vya kichawi? Ulisikia lini EPL timu imepita mlango wa nyuma? Ni lini ulaya Kuna timu imekataa kuingia chumba cha kubadilisha nguo, kufukia hilizi, kumwaga maji uwanjani, nk. Tanzania hivyo vyote vipo. Bodi ya ligi isinhekuwa na kanuni ya ligi kuhusu uchawi kama hakuna uchawi.Tuache kutengeneza taarifa negative zenye kuegemea kwenye furaha yako, kuyumba kwa timu ni kitu cha kawaida, je Arsenal, Man city na Real madrid wanachezea vichapo, wako kwenye vuwanja vya watu au wameacha uchawi??, watanzania hatutaendelea sababu tuko kujenga negative na lawama muda wote, simba wakati inayumba nao waliacha kutumia uchawi?, tukue kifikra kwa maendeleo ya taifa na mpira wetu.
Yaani unataka kusema Yao, Baca, jJob wanacheza namba ?Unauliza swali kama mtu mwenye IQ ndogo kupitiliza. Kikosi kipana haimaanishi Kila mchezaji anaweza kucheza namba yoyote uwanjani. Yaani unataka mshambuliaji aweze kucheza golikipa kama golikipa hayupo, beki acheze nafasi ya mshambuliaji kama washambuliaji hawapo, nk. Kama Bacca, Job, Yao, Andabwile wote hawapo nyuma ulitaka dube akacheze beki kwakuwa Yanga ina kikosi kipana? Ujinga TU.
Kuwakosa kwa wakati mmoja Bacca, Yao, Job, Boka, Andabwile ni sawa na Simba kuwakosa Chemalone, Hamza, Mohamed Hussein, Kapombe na yule beki yao mwingine kwa wakati mmoja. Yanga tulieni sababu ya kufungwa tunaijua sote.Yaani unataka kusema Yao, Baca, jJob wanacheza namba ?
Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao.
Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga.
Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
Lete ushahidi wa hivyo ndugu na acha kuropokaAcha ujinga kaka, ulisikia lini EPL Kuna timu iliwasha moto katikati ya uwanja siku ya mechi Tena kwenye kiwanja cha ugenini nje ya nchi? Umesikia lini ulaya Kuna timu imepewa adhabu kwa vitendo vya kichawi? Ulisikia lini EPL timu imepita mlango wa nyuma? Ni lini ulaya Kuna timu imekataa kuingia chumba cha kubadilisha nguo, kufukia hilizi, kumwaga maji uwanjani, nk. Tanzania hivyo vyote vipo. Bodi ya ligi isinhekuwa na kanuni ya ligi kuhusu uchawi kama hakuna uchawi.
Shombo la Ally Kamwe baada ya timu pinzani kufungwa ni hatari sana kwa Yanga. Abadilishwe pia au aache au apunguze.
Lete ushahidi wa hivyo ndugu na acha kuropoka
Safi sana, ingawa nilikuwa nataka ushahidi unaoonyesha Yanga wakifanya uchawi
Ikiwa umepitia jeshi utafahamu hili, haukimbii uwanja wa mapambano bali unabadili mpango wa mashambulizi kutokea upande mwingine au retreat for advantage, tuko pamoja
Kiongozi wa timu hawezi kusema kama hiviIkiwa umepitia jeshi utafahamu hili, haukimbii uwanja wa mapambano bali unabadili mpango wa mashambulizi kutokea upande mwingine au retreat for advantage, tuko pamoja