Yanga Bingwa 2024

Yanga Bingwa 2024

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa.

Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
 
Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hizi🫠
 
Semaji la kimataifa limepotea kusikojulikana!
 
Back
Top Bottom