Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 May 13, 2024 #1 Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 14,949 Reaction score 54,485 May 13, 2024 #2 Match zilizobaki tunamchukulia Azizi kiatu chake
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 1,770 Reaction score 3,552 May 13, 2024 #3 Bado kiatu
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 May 13, 2024 #4 Ileje said: Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi! Click to expand... Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hiziš«
Ileje said: Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi! Click to expand... Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hiziš«
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 May 13, 2024 Thread starter #5 Bengal said: Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hiziš« Click to expand... Semaji la kimataifa limepotea kusikojulikana!
Bengal said: Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hiziš« Click to expand... Semaji la kimataifa limepotea kusikojulikana!