Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,535
- 1,562
Wa Tp Mazembe mkuu au …………Huu mpira wanaocheza Yanga sio wa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Tp Mazembe mkuu au …………Huu mpira wanaocheza Yanga sio wa Tanzania
Usiache kuja kutuona Angola mpwaHatts off to Yanga.
Tumecheza vibaya,hatukustahili hata sare.
See you next season.
[emoji3] [emoji3]Ananipa rahaaa! Ungekuwa msimu wa msoga angechunguzwa! Maana kipindi kile hata ukijikwaa tume inaundwa kwanini unajikwaa sana!
Ha ha debe tupu haliachi kutika!Mikia inasema Yanga inabebwa
Yanga buana....sisi watani bhana kasoro sisi wa kimataifa ninyi wa mchangani teh
lazma ajifichemanara akae mkao wa kupokea vyake
hakuna marefu yasiyo na ncha mkuuHii YANGA ya sasa Simba watasubiri sanaa😀😀😀😀
hahaaahaAzam Fc sio wa kuwawekea dhamana kabsa...wahed
Hakuna namna Mkuu, Msubirie kwa hamu Jerry Muro mida yake ile.Azam FC, tutulizieni jiji.. Nawatakia ushindi mnono.
***MPIRA UMEKWISHA NA YANGA WANATAWAZWA KUWA MABINGWA***
DAKIKA 3 ZINAONGEZWA NA KAMISAA YA MCHEZO
87' Nadir Haroub 'Cannavaro' anaingia kuchukua nafasi ya Vicent Bussou
84' Faridi Mussa anatoka na Idd anaingia katika kikosi cha Azam Fc
81' Deus Kaseke anaiandikia goli la 3 Yanga sasa Yanga 3 Azam Fc 1
73' Kipa wa Azama anaokoa kichwa cha Hamis Tambwe
70' Juma Abdul anakosa gola la wazi kabisa baada ya kutengewa na Donald Ngoma
66' Haruna Niyonzima anatoka na Mbuyu Twite anaingia
65' Jean mugiraneza anapata kadi ya njano
63' Frank Domayo anaingia kuchukua nafasi
48' Azam Fc wanapata goli la kwanza kupitia kwa Didier Kavumbagu sasa Yanga 2 na Azam Fc 1
47' Hamis Tambwe anaindikia Yanga goli la pili. Sasa Yanga 2 na Azam Fc sifuri
45' Azam Fc wanaanzisha mpira na wameuingiza Didier Kavumbagu na wamemtoa John Boko
MPIRA NI MAPUMZIKO MATOKEO NI YANGA 1 AZAM FC 0
00' Refa anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo
09' Yanga inaandika goli la kwanza kupitia kwa Hamis Tambwe, Yanga 1-0 Azam
12' Azam wanajaribu kufika golini kwa Yanga lakini unakua mpira mwepesi kwa Dida
14' Azam wanashindwa kuhitimisha goli baada ya kucheza gonga kwenye lango la Yanga
29' Azam FC wanakosa goli la wazi
35' Yanga wanapata kona pacha lakini wanashindwa kuandika magoli
40' Juma Abdul anafanyiwa madhambi na Agrey Morris na Morris anapewa kadi ya manjano
42' Ramadhan Singano Messi anapewa kadi ya njano kwa kumfanyia madambi Kelvin Yondani.
===========
FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO || ASFC -2015/2016.
Azam FC Vs Young Africans SC.
Uwanja - Taifa (Dar es Salaam)
Muda :- Saa 10 : 00 Alasiri.
KIKOSI CHA YANGA
1. Deogratius Bonaventura Munishi "Dida"
2. Juma Abdul Mnyamani.
3. Oscar Fanuel Joshua.
4. Kelvin Patrick Yondani "Cotton"
5. Vicent Bossou.
6. Thaban Michael Kamusoko
7. Saimon Happygod Msuva
8. Haruna Fadhil Niyonzima.
9. Donald Dombo Ngoma
10.Amiss Jocelyn Tambwe
11. Deus David Kaseke
Akiba.
----------
1. Ally Mustafa Mtinge "Barthez"
2. Haji Mwinyi Mngwali.
3. Salum abdul Telela
4. Nadir Ally Haroub "Canavaro"
5. Matheo Saimon Anthony.
6. Mbuyu Twite Junior
7. Geofrey Furaha Mwashiuya.
KILA LA HERI YANGA AFRIKA.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
KIKOSI CHA AZAM FC
1.Aishi Manula-28
2.Erasto Nyoni-6
3.Gadiel Michael-2
4.Agrey Morris-13
5.Abdallah Kheri-25
6.Jean Mugiraneza-16
7.Himid Mao-23
8.Mudathir Yahya-20
9.John Bocco-19(c)
10.Ramadhan Singn-14
11.Farid Mussa-17
Sub
1.Mwadini Ali-1
2.Said Morad-15
3.Frank Domayo-18
4.Bolou Wilfred -29
5.Didier Kavumbagu-11
6.Ame Ali-24
7.Shaaban Idd-43
mkolaj, Makoye Matale, Bantu lady, Katavi, Nifah Ulimakafu, Wonderful na wadau wengine tutakuwa hapa kukuletea yote yatakayojiri kutoka ndani ya Uwanja wa Taifa.
Halikuwazidi azam.!Una uhakika dau la yanga liliwazidi dau la azam?