Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Yanga imeibuka na ushindi huo baada kuifunga Simba SC kwa mikwaju ya Penati. Yanga SC walifanikiwa kufunga mikwaju 4 kwa 3 ya Simba Sc

Mchezo huo ulifikia hatua ya matuta Baada ya Dakika 90 kumalizika kwa matokeo ya 0-0
 
Yanga walikua na wachezaji wao wote tegemezi full ngwamba,wakati Simba mashine muhimu zote azikuwepo.
Chama.
Luis.
Boko.
Shabalala.
Kapombe.
Nyoni.
Wawa.
Bwalya.
Benchi la ufundi la Simba awakutolea macho hii fainali kwasababu mbele kuna big deal zaidi ya hii fainali ya milioni kumi ya mashindano ya visiwani.
 
Endelea kupayuka payuka tu........mechi ya ligi hao hawakuwepo?
 
Timu ya yanga inayo patikana jangwaji, Leo imejinyakulia kombe la kimataifa, Na usiku huu, wanakesha Na kufurai kwa kubeba ubigwa huo, mbele ya mbabe wa nyika Simba SC, hongera kwenu utoporo
 
Hukusema haya mwanzo
 
Kuna mechi yoyote ya Simba ambayo hao wote uliowataja wamecheza kwa pamoja, sambamba nabaadhi ya hao wa kikosi cha kwanza waliocheza leo?
Yasin Mustafa, Bakari Mwamnyeto, Lamine Moro, Fei Toto, James Kaseke, Yakoiba, walichezea Yanga leo? Hao ni wa kikosi cha pili?
 
Mwamnyeto
Kaseke
Lamine moro
Fei toto
Yacouba
Yasin Mustafa
Farid Musa
Nchimbi
Hao uliwaona mle kwenye kikosi cha Yanga?
 
Pia first eleven ya Yanga hawakuwepo..

1. KASEKE
2.FEISAL
3.YASSIN
4.MWAMNYETO
5.LAMIN
6.NCHIMBI

huna sababu.... Mngechukua nyinyi hilo Kombe mngesema Sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…