Yanga bingwa mapema sana timu pinzani zote ni dhaifu na zimejaa woga

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Nimeangalia mechi zote yanga atatangaza ubingwa akiwa na mechi kadhaa mkononi.

sababu timu pinzani zote ni dhaifu kwenye Nbc ligi hazina malengo wachezaji wao wamejaa ushamba.

Haiwezekani waalimu wanasoma mchezo wanauangalia lakini timu zote zinakufa kifo kinachofanana wote wameaminishwa aziz ki hakabwi wala haguswi,pacone hakabwi wala haguswi, upuuzi aibu kwa walimu wa timu zote .

Timu pinzani zimefanya sajili kukamilisha nafasi za orodha ya wachezaji tu na kuiga upuuzi wa kutambulisha wachezaji kwa mbwebwe saa nane za usiku ili hali ni vyuma chakavu hongera yanga ,hongera Hersi saidi kwa kuijenga yanga na kuifanya isiwe na mpinzani ndani na nje ya mipaka, kireno wanasema PARA BEMS!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…