Yanga bingwa wa ASFC 20/21

Yanga bingwa wa ASFC 20/21

NAJYUZ

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
1,981
Reaction score
3,475
Mzuuka jf.

Mpaka Sasa 'kitamaduni za kiafrika' yanga ameshamaliza mechi yake dhidi ya mtani wake simba,haikua rahisi kuicheza hii mechi kwani Simba walikuja kivingine kupitia yule mtaalamu wao wa kirangi ambaye amebobea katika vitabu.

Kwa taarifa ambazo nimezipata hivi punde ambazo sio lasmi ni kua asubuhi hii Simba wapo ujiji kwa wazee wa ujiji wanatafuta ni namna gani ambavo wanaweza kukabiliana na kuwadhibiti Young Africans,Na kafara ambayo wameambiwa na wazee waitoe ni kuchinja ng'ombe Mia moja kwenye ziwa lilojaa maagano ya kichawi,ziwa tanganyika.

Kama ulivokua mchezo uliopita wa SIMBA na YANGA ambao beki wa YANGA adeyum Saleh ndo aliibeba 'mikoba' ya timu,Leo anaweza akapewa tena yeye au Bwana mdogo kibwana shomari,Na mmoja Kati ya hao ndo atakua wa kwanza kuingia uwanjani wakati wa 'warm up' na wa kwanza kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo.

Mwisho.
 
Cha ajabu misimu minne mfululizo Yanga wanakosa ubingwa
 
Mleta post hii ni huyo aliyetoa ulimi
FB_IMG_1625214394973.jpg
FB_IMG_1625214394973.jpg
 
Huko Kigoma ni wajuzi sana wa hizi Tunguli, cha ajabu hawana hata timu moja ya ligi kuu.
 
Naitakia ushindi timu yangu ya Wananchi Yanga! Ushindi wowote ule!! Ingawa hii kadi nyekundu, imewatoa kabisa Wananchi mchezoni!

Kocha nae hataki kufanya mabadiliko!! Alitakiwa ampunguze mshambuliaji mmoja na kumuingiza kiungo mkabaji!

Hali imekuwa ni tete kweli kweli. Tukivumilia mpaka dk ya 90, tutawashinda tu kwenye penati.
 
Mzuuka jf.

Mpaka Sasa 'kitamaduni za kiafrika' yanga ameshamaliza mechi yake dhidi ya mtani wake simba,haikua rahisi kuicheza hii mechi kwani Simba walikuja kivingine kupitia yule mtaalamu wao wa kirangi ambaye amebobea katika vitabu.

Kwa taarifa ambazo nimezipata hivi punde ambazo sio lasmi ni kua asubuhi hii Simba wapo ujiji kwa wazee wa ujiji wanatafuta ni namna gani ambavo wanaweza kukabiliana na kuwadhibiti Young Africans,Na kafara ambayo wameambiwa na wazee waitoe ni kuchinja ng'ombe Mia moja kwenye ziwa lilojaa maagano ya kichawi,ziwa tanganyika.

Kama ulivokua mchezo uliopita wa SIMBA na YANGA ambao beki wa YANGA adeyum Saleh ndo aliibeba 'mikoba' ya timu,Leo anaweza akapewa tena yeye au Bwana mdogo kibwana shomari,Na mmoja Kati ya hao ndo atakua wa kwanza kuingia uwanjani wakati wa 'warm up' na wa kwanza kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo.

Mwisho.
Labda mkaliibe hilo kombe wachawi wakubwa nyie
 
Wee **** UPOOO?
 
Back
Top Bottom