NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Mzuuka jf.
Mpaka Sasa 'kitamaduni za kiafrika' yanga ameshamaliza mechi yake dhidi ya mtani wake simba,haikua rahisi kuicheza hii mechi kwani Simba walikuja kivingine kupitia yule mtaalamu wao wa kirangi ambaye amebobea katika vitabu.
Kwa taarifa ambazo nimezipata hivi punde ambazo sio lasmi ni kua asubuhi hii Simba wapo ujiji kwa wazee wa ujiji wanatafuta ni namna gani ambavo wanaweza kukabiliana na kuwadhibiti Young Africans,Na kafara ambayo wameambiwa na wazee waitoe ni kuchinja ng'ombe Mia moja kwenye ziwa lilojaa maagano ya kichawi,ziwa tanganyika.
Kama ulivokua mchezo uliopita wa SIMBA na YANGA ambao beki wa YANGA adeyum Saleh ndo aliibeba 'mikoba' ya timu,Leo anaweza akapewa tena yeye au Bwana mdogo kibwana shomari,Na mmoja Kati ya hao ndo atakua wa kwanza kuingia uwanjani wakati wa 'warm up' na wa kwanza kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo.
Mwisho.