mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Tafadhari moderator toa hapa peleka jukwaa la sport sports, tuheshimu majukwa, Hii siyo siasa.Ama kweli masikini akipata matako hulia mbwataaaa, Mabingwa wa kihistoria wamekwisha sahau , Mmepingwa ndani na nje Kombe la Afrika mkapoteana sio viongozi sio wanachama mpaka mashabiki kama haitoshi mpaka leo mnatembeza Bakuli , mechi 3 tu mmeamza kuchonga ligi bado mbichi kabisa na hivi hamna pesa mtakimbiana tena.Simba bado imara na sisi ndio MABINGWA WA SOKA WA NCHI HII.
SawaAma kweli masikini akipata matako hulia mbwataaaa, Mabingwa wa kihistoria wamekwisha sahau , Mmepingwa ndani na nje Kombe la Afrika mkapoteana sio viongozi sio wanachama mpaka mashabiki kama haitoshi mpaka leo mnatembeza Bakuli , mechi 3 tu mmeamza kuchonga ligi bado mbichi kabisa na hivi hamna pesa mtakimbiana tena.Simba bado imara na sisi ndio MABINGWA WA SOKA WA NCHI HII.
Kama hiviKwa TFF yetu usishangae yanga akapangiwa game zote achezee uwanja wa taifa
Mimi Sio shabiki wa hicho ulichokiweka hapoKama hiviView attachment 872925