mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Ama kweli masikini akipata matako hulia mbwataaaa, Mabingwa wa kihistoria wamekwisha sahau , Mmepingwa ndani na nje Kombe la Afrika mkapoteana sio viongozi sio wanachama mpaka mashabiki kama haitoshi mpaka leo mnatembeza Bakuli , mechi 3 tu mmeamza kuchonga ligi bado mbichi kabisa na hivi hamna pesa mtakimbiana tena.Simba bado imara na sisi ndio MABINGWA WA SOKA WA NCHI HII.