Hakika pamoja na Yanga kuishangilia Timu ya Vita kwa nguvu zote hatimaye ule usemi wa "This is Simba " umedhihirika leo Uwanja wa Taifa kwa Vita kulala kwa Bao 2-1 mbele ya Mnyama.Yanga tulieni acheni blabla zenu Kila mtu Point 3 za nyumbani ni Zake.
Hawa jamaa hawana uzalendo hata kidogo. Wanatia haibu. Tulivyofungwa goli la kwanza jamaa walishangilia sana pale uwanjani. Sasa sijui wametokea geti gani! THIS IS SIMBA BROTHER.