Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila shaka utakuwa shabiki wa wekindu weweKila mtu acheze mechi zake hatuna haja ya kuhangaika na mechi za jirani Azam wanahitaji points 3 ni mhimu kwao same to Simba wanazitaka so atakaeshinda mechi ya leo ni uwezo wake tuachane na mambo ya kizamani
Mbona hakuna sehemu niliyosema huna akili mkuu! According to Ismail Rage, mbumbumbu ni mtu tu asiyefahamu kitu fulani!kwaiyo we pekee ndio shabikinwa nyamga mwenye akili mkuu?
Nawasalimu kwa jina la jmt
Moja kwa moja niende kwenye mada , yakiwa yamebaki masaa kadhaa ili mabingwa wa soka tanzania wekundu wa msimbazi waingie kwenye vita kali ya kusaka point 3 dhidi ya wana lamba lamba,
Naishauri club yangu pendwa ya dar young africa wacheze mechi hii ili wawezeze kuwa kwenye possition nzur ya kunyakua ubingwa
Yanga wasipocheza mechi hii bado watakuwa na kibarua kigumu sana cha kunyakua taji kwani sehemu kubwa ya mechi zilizobaki watani wetu wekundu wa msimbazi ni lazima nao watacheza tu hali itakayopelekea sisi kukosa ubingwa
Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa yanga, nashaur benchi la ufundi pamoja na viongozi wa yanga kucheza mechi hii kwa gharama yeyote ile , iwe kuloga, kuhonga waamuzi, kuhonga wachezaji wa simba au namna nyingine yeyote ile ili hawa watan wetu wapoteze hizo point 3 na sisi tuchukue kikombe mwaka huu
Huo ndio mtanzamo wangu kama shabiki
Kila mtu ashinde mechi zake tuNawasalimu kwa jina la jmt

"kuna timu yenyewe kila mechi wanashinda , lakini hawajawahi kupanda wako nafasi ile ile ya pili" Oscar Oscar"wanaongoza ligi lakini hawana furaha" Oscar Oscar
we utakuwa wa mjini sana mwamba ndio kaama kama unajitahid sana kutukana hvShabiki wa Yanga na mjua Michezo hawezi kuwa na mawazo kama haya..
Yanga wanacheza Mpira uwanjani na mechi zao sio mechi za Timu nyingine..
Obviously Ubingwa uko Jangwani hatuna shida na mechi za mtu Wala kufanya ulozi kama Timu zingine zinavyofanya..Uwe na heshima kwanza na Club za watu
Mikia kwa kujimwambafai mpo vzrNyie Utopolo na Hao Lamba lamba ni Sehemu tu Ya Mazoezi Kwa Mnyama...!