Yanga Day iliharibiwa na MC WATATU

Yanga Day iliharibiwa na MC WATATU

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Kosa lililofanyika ni kuwaweka washereheshaji watatu ambao wote sio Professional. NI WAJUAJI SANA.

Kitenge, Manara na Zembwela wanachojua ni kupiga makelele tu na kutumia maguvu kuongea, yaani ni vurugu mwanzo mwisho, baya zaidi they are very poor in TIME MANAGEMENT.

Shughuli ya jana ingependeza kama ingeongozwa na Ali Kamwe na Mc mwingine mwenye UTULIVU WA AKILI
 
Hapana show zilipoteza muda siyo utambulisho
 
Harmonize na Manara wapewe sifa zao ..
 
Back
Top Bottom