Hapana show zilipoteza muda siyo utambulishoKosa lililofanyika ni kuwaweka washereheshaji watatu ambao wote sio Professional. NI WAJUAJI SANA.
Kitenge, Manara na Zembwela wanachojua ni kupiga makelele tu na kutumia maguvu kuongea, yaani ni vurugu mwanzo mwisho, baya zaidi they are very poor in TIME MANAGEMENT.
Shughuli ya jana ingependeza kama ingeongozwa na Ali Kamwe na Mc mwingine mwenye UTULIVU WA AKILI
Sio kuharibu tu kaifanya sherehe kama birthday yake, jamaa anapenda spotlight eti anaenda kusujudu uwanjani ili picha yake ndio iwe gumzo jamaa anaweka malengo yake mbele kuliko team.Kusema kweli Haji aliharibu sana