Naunga mkono hoja jamaa ni waoga sana.Yanga wako Tayari watembeze bakuli lakini si kupata aibu ya kufungwa na simba
" Iga ufe, This is the next level "
Sasa angalia game za pre seasons wanacheza na wauza matikiti..sisi tunacheza game za ukweli..wakiboronga kwenye ligi wanasingizia hujuma.Kucheza na Simba sio kazi ndogo,unaweza kupigwa ukachakaa mpaka ukafa
Yani mashabiki wa Yanga akili hamnazo, leteni hoja nzito ili angalau tuone na nyie mpo.
GSM kasimamia show .Kwanza mkataba na sportpesa ukimalizika hatuwataki...Kesho Kuna striker wa AFCON anatua JangwaniYani mashabiki wa Yanga akili hamnazo, leteni hoja nzito ili angalau tuone na nyie mpo.
Hiyo kauli ipo kabla hata hilo tawi la Yanga halijazinduliwa.
Hoja yenu ungekua na mantiki ka simba ingeanzisha tawi afu tuliite kwa kauli ya IGA ufe.
Hapo Kwenye tukio la kuanzimisha ukweli unabaki pale pale kua Yanga mmekopi kwa simba.
Ona sasa mnavyoliendesha hovyo hovyo, uku morogoro mnazuka mtaani kuombaomba ili kufanikisha hiyo sherehe, wakati simba sport pesa anaingia na kulidhamini tukio la simba day.
Ndo tukawambia "Iga ufe, this is the next level".
Ahahahaha hao hao GSM ambao Tariba amesema wanatundika tu jezi zenu.GSM kasimamia show .Kwanza mkataba na sportpesa ukimalizika hatuwataki...Kesho Kuna striker wa AFCON anatua Jangwani
Tarimba ana jipya..matajiri wamerudi..mjipangeAhahahaha hao hao GSM ambao Tariba amesema wanatundika tu jezi zenu.
"Iga Ufe, This is the next level"