Yanga day wangewaita Simba wangepata hela

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wakuu Yanga day Simba ingealikwa uwanja ungejaa,Yanga wameshindwa tu kujiongeza,ingekuwa strategic nzuri sana Yanga kuingiza hela kuliko hata timu za kutoka nje.
 
Naona mashabiki wa boxer fc wameshaanza kuingiwa na mchecheto! Msisahau tu ya kwamba Yanga hii ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya jana ambayo ilikuwa haina hata mchezaji mbadala nje wakati timu ilipokua ikicheza uwanjani!

Msimu huu mjiandae tu kupoteana kama misimu ile iliyopita.
 
we unataka umfukuzishe ZAHERA arudi kwao , kabla hata ligi haijaanza
 
.
IMG-20190730-WA0001.jpeg
 
Yani mashabiki wa Yanga akili hamnazo, leteni hoja nzito ili angalau tuone na nyie mpo.
Hiyo kauli ipo kabla hata hilo tawi la Yanga halijazinduliwa.
Hoja yenu ungekua na mantiki ka simba ingeanzisha tawi afu tuliite kwa kauli ya IGA ufe.
Hapo Kwenye tukio la kuanzimisha ukweli unabaki pale pale kua Yanga mmekopi kwa simba.

Ona sasa mnavyoliendesha hovyo hovyo, uku morogoro mnazuka mtaani kuombaomba ili kufanikisha hiyo sherehe, wakati simba sport pesa anaingia na kulidhamini tukio la simba day.

Ndo tukawambia "Iga ufe, this is the next level".
 
GSM kasimamia show .Kwanza mkataba na sportpesa ukimalizika hatuwataki...Kesho Kuna striker wa AFCON anatua Jangwani
 
Ahahahaha hao hao GSM ambao Tariba amesema wanatundika tu jezi zenu.
"Iga Ufe, This is the next level"
 
Back
Top Bottom