Yanga dhidi ya matokeo mabovu inayoendelea kuyapata

Kwa taarifa yako ni kuwa Zahera haondoki.Na wachezaji kuondoka sio jambo geni.Simba wameondoka wachezaji,yanga wameondoka wachezaji.Haji Mwinyi suala lake litashughulikiwa.Mwaka jana Zahera ndiye aliyeifanya Yanga ikawa nafasi ya 2.Mbona Lwandamina alikimbia njaa lakin Zahera alibaki?Hebu fikiria mazingira ya Yanga ya Mwaka jana ungekuwa wewe usingekimbia kama Lwandamina alivyokimbia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…