mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Kwa taarifa yako ni kuwa Zahera haondoki.Na wachezaji kuondoka sio jambo geni.Simba wameondoka wachezaji,yanga wameondoka wachezaji.Haji Mwinyi suala lake litashughulikiwa.Mwaka jana Zahera ndiye aliyeifanya Yanga ikawa nafasi ya 2.Mbona Lwandamina alikimbia njaa lakin Zahera alibaki?Hebu fikiria mazingira ya Yanga ya Mwaka jana ungekuwa wewe usingekimbia kama Lwandamina alivyokimbia?Kama anaishi nao vizuri, iweje wachezaji wengi mfano Mwinyi Haji Mngwali waondoke kwa manung'uniko? Ilishindikana vipi kukaa mapema na wachezaji muhimu kwenye timu kama Gadiel Michael ili kuwapa mikataba mipya badala ya kubariki kuondoka kwao na mwisho wa siku timu kuokoteza mabeki wa kati kama Ali Sonso, ili wacheze pembeni?
Penye ukweli ni lazima tuuseme. Mwinyi Zahera ni mzinguaji tu. Aondoke mapema iwezekanavyo.