Yanga dhidi ya matokeo mabovu inayoendelea kuyapata

Payrol

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
2,286
Reaction score
3,082
Kama kawaida yangu kwanzia saa sita kamili siku za jumatatu hadi ijumaa uwa nasikiliza east Africa radio kipindi cha kipinga extra. Pale unakutana na mashabiki mbali mbali wa timu zetu hasa pendwa Simba na Yanga. Jana kulikua na mashabiki wa Yanga wakiongozwa na Jimy kindoki.
Sasa kulikua na mada juu ya mechi kati ya Yanga na Polisi Tanzania.
Kilichonifanya niandike ni vile vilio vya mashabiki wa Yanga juu ya muendelezo wa timu yao pendwa.
Kuna mmoja jina kapuni, Yeye alisema Yanga matokeo wanayopata yanasababishwa na viongozi waliopo , kwa sababu kuna watu ambao ndo wamesajili wachezaji wametengwa na timu. Namnukuu, "Sikiliza Bwana Goza( huyu ndo msimamizi wa kipindi) pale Yanga kuna wanachama ndo waliowasajili wachezaji, mfano yule Papy kasajiliwa na flani( jina kapuni) hata Hata kocha Zahera kaletwa na huyo mtu kipindi tunaangaika hatuna kocha na hatuna hela huyo ndo alimleta akamsajili Zahera.. Hata kuja kwa Haruna moshi msimu uliopita aliletwa na hao watu "
Sasa saizi hao wametengwa na viongozi waliopo.
Mara paa akaingia Jimy kindoki, Yeye ka mjumbe wa kamata ya uamasishaji akaulizwa kuhusu ilo, yeye akasema , yeye kama yeye hailewi ka ilo jambo lipo, akaendelea kusema inawezekana lipo yeye hawezi kujua kwa sababu ni la ndani, ila atalifanyia uchunguzi.
Pia akatoa maoni yake kua yeye anaona timu ya Yanga haifanyi vizr kwa sababu wachezaji wamechezewa( akimanisha wamerogwa) namnukuu " haiwezekani Leo inaibuka mchezaji huyu anafanya vizr Kesho mwingine. Ule Sio uwezo wa wachezaji wetu " akaendelea inawezekana wamechezewa humu humu ndani ( ndani ya Yanga) au ni hao majirani zetu ( akimanisha Simba)
Akaja mwingine yeye akasema toka jana ( ilikua alhamisi) nilisema kama wachezaji wetu wakitambua thamani ya Yanga tunashinda. Lakini angalia timu haimalizi mpira ikiwa Kwenye ile ile peak. Timu inacheza kipindi cha kwanza vzri , cha pili hivyo kabisa.
Kilichosabisha nilete hii mada ni hizi hoja tatu hasa ya kwanza na ya pili.
Moja, je, ndani ya Yanga kuna mgogoro ndo unasabibisha timu isipate matokeo? Afu inakuwaje inakuaje ndani ya timu baadhi ya wachezaji wanamilikiwa na watu flani na si timu hadi kocha wa timu?
Pili, Je wachezaji wa Yanga wamerogwa ka alivyosema Jimy kindoki ndo sababu ya Yanga kutopata matokeo?
Tatu, Je, ni kweli wachezaji wa Yanga hawajui ukubwa wa timu ya Yanga ndo mana hawajitumi dakika zote tisini ?
Nini maoni mwanajamii forum?
 
tatizo la Yanga ni kutegemea uwezo wa wachezaji kupata matokeo, mpira wa bongo ukitaka kushinda lazima ufanye fitina kwa kuhonga marefa, wachezaji wa timu pinzani, au kupuliza hewa ya sumu timu pinzani kama wanavyofanya Simba! viongozi wa yanga waanze kutafuta ushindi nje ya uwanja kama wanavyofanya simba
 
umeweka hapa hoja fikirishi ingawa wengi hawatakuelewa.. matokeo chanya kwa soka ya Tanzania ni asilimia 40 za juhudi uwanjani lakini asilimia 60 ni mambo nje ya uwanja...
 
tatizo la Yanga ni kutegemea uwezo wa wachezaji kupata matokeo, mpira wa bongo ukitaka kushinda lazima ufanye fitina kwa kuhonga marefa, wachezaji wa timu pinzani, au kupuliza hewa ya sumu timu pinzani kama wanavyofanya Simba! viongozi wa yanga waanze kutafuta ushindi nje ya uwanja kama wanavyofanya simba
Tuongee ukwel quality ya wachezaji walionao Simba unaweza ukasema wanategemea kupata matokeo nje ya uwanja? Labda ungesema wanaposhindana michuano ya caf champion league Ninaweza kukuunga mkono ila sio kwa timu Kama ndanda,prison,mbeya city n.k
 
Tatizo Zahera...nakumbuka msimu uliopita alimkataa Kakolanya kwa madai ya kugoma kisa acheze Mcongoman mwenzake...Yondani aligoma hakumfukuza maana hakuwa na mbadala...Makambo,Ajibu na Gadiel kuondoka kwao 100% Zahera..wachezaji wanataka waongezewe dau yeye anawaambia viongozi waachane nao..Alafu Zahera ana mdomo mchafu sana huwezi mambo ya kiufundi kuongea hadharani (kama mchezaji ana uzito mkubwa si unataka mashabiki wa Yanga wamchukie mchezaji)...Manji angekuwa mwenyekiti Zahera zamani kafukuzwa
 
Vyura FC sio timu bali ni genge la wauza kahawa na kashata.😂😂😂😂
 
Kama kawaida yangu kwanzia saa sita kamili siku za jumatatu hadi ijumaa uwa nasikiliza east Africa radio kipindi cha kipinga extra. Pale unakutana na mashabiki mbali mbali wa timu zetu hasa pendwa Simba na Yanga. Jana kulikua na mashabiki wa Yanga wakiongozwa na Jimy kindoki.
Sasa kulikua na mada juu ya mechi kati ya Yanga na Polisi Tanzania.
Kilichonifanya niandike ni vile vilio vya mashabiki wa Yanga juu ya muendelezo wa timu yao pendwa.
Kuna mmoja jina kapuni, Yeye alisema Yanga matokeo wanayopata yanasababishwa na viongozi waliopo , kwa sababu kuna watu ambao ndo wamesajili wachezaji wametengwa na timu. Namnukuu, "Sikiliza Bwana Goza( huyu ndo msimamizi wa kipindi) pale Yanga kuna wanachama ndo waliowasajili wachezaji, mfano yule Papy kasajiliwa na flani( jina kapuni) hata Hata kocha Zahera kaletwa na huyo mtu kipindi tunaangaika hatuna kocha na hatuna hela huyo ndo alimleta akamsajili Zahera.. Hata kuja kwa Haruna moshi msimu uliopita aliletwa na hao watu "
Sasa saizi hao wametengwa na viongozi waliopo.
Mara paa akaingia Jimy kindoki, Yeye ka mjumbe wa kamata ya uamasishaji akaulizwa kuhusu ilo, yeye akasema , yeye kama yeye hailewi ka ilo jambo lipo, akaendelea kusema inawezekana lipo yeye hawezi kujua kwa sababu ni la ndani, ila atalifanyia uchunguzi.
Pia akatoa maoni yake kua yeye anaona timu ya Yanga haifanyi vizr kwa sababu wachezaji wamechezewa( akimanisha wamerogwa) namnukuu " haiwezekani Leo inaibuka mchezaji huyu anafanya vizr Kesho mwingine. Ule Sio uwezo wa wachezaji wetu " akaendelea inawezekana wamechezewa humu humu ndani ( ndani ya Yanga) au ni hao majirani zetu ( akimanisha Simba)
Akaja mwingine yeye akasema toka jana ( ilikua alhamisi) nilisema kama wachezaji wetu wakitambua thamani ya Yanga tunashinda. Lakini angalia timu haimalizi mpira ikiwa Kwenye ile ile peak. Timu inacheza kipindi cha kwanza vzri , cha pili hivyo kabisa.
Kilichosabisha nilete hii mada ni hizi hoja tatu hasa ya kwanza na ya pili.
Moja, je, ndani ya Yanga kuna mgogoro ndo unasabibisha timu isipate matokeo? Afu inakuwaje inakuaje ndani ya timu baadhi ya wachezaji wanamilikiwa na watu flani na si timu hadi kocha wa timu?
Pili, Je wachezaji wa Yanga wamerogwa ka alivyosema Jimy kindoki ndo sababu ya Yanga kutopata matokeo?
Tatu, Je, ni kweli wachezaji wa Yanga hawajui ukubwa wa timu ya Yanga ndo mana hawajitumi dakika zote tisini ?
Nini maoni mwanajamii forum?
Mtaje tu niNdama
 
Tatizo Zahera...nakumbuka msimu uliopita alimkataa Kakolanya kwa madai ya kugoma kisa acheze Mcongoman mwenzake...Yondani aligoma hakumfukuza maana hakuwa na mbadala...Makambo,Ajibu na Gadiel kuondoka kwao 100% Zahera..wachezaji wanataka waongezewe dau yeye anawaambia viongozi waachane nao..Alafu Zahera ana mdomo mchafu sana huwezi mambo ya kiufundi kuongea hadharani (kama mchezaji ana uzito mkubwa si unataka mashabiki wa Yanga wamchukie mchezaji)...Manji angekuwa mwenyekiti Zahera zamani kafukuzwa

Uko sahihi kwa 100%. Mwinyi Zahera ndiye chanzo cha matatizo kwenye klabu yetu. Hakuna asiyetambua mchango wake wa hamasa msimu uliopita.

Lakini ukija kwenye suala la familia, jamaa ni mweupe sana. Labda kwa sababu ana uraia wa Ufaransa, basi na yeye anajifanya ni Mzungu. Hana sifa ya kuishi na wachezaji kama watoto au wadogo zake kama ilivyokua kwa mtangulizi wake Lwandamina! Ni mtu wa kupenda kujivua lawama muda wote na badala yake kuwasukumizia wachezaji, Tff, Bodi ya ligi, nk.

Aliwaondoa wachezaji wengi muhimu msimu uliopita bila sababu zenye mashiko! Amechelewa kujiunga na pre season kwa sababu ya mapumziko yake binafsi ulaya! Amesajili wachezaji wengi wa kawaida mpaka unajiuliza hivi aliwaza nini! Mchezaji kama Ali Ali! Mimi hata aondoke kesho naona poa.
 
Ubovu wa yanga unayokana na uzuri wa simba.
Hizi timu za kariakoo zina ugonjwa fulani. Mmoja akifanya vizuri mwingine anachanganyikiwa na kufanya vibaya. Haijawahi tokea simba na yanga zote zikawa ktk ubora wa juu..yanga ikipanda simba inachanganyìkiwa na simba ikipanda yanga wanavurugana.
Ila bahati mbaya ni kwamba simba itakuwa juu kwa muda sasa hivi hivyo yanga wajipange kuvurugana kwa muda kidogo.
 
tatizo la Yanga ni kutegemea uwezo wa wachezaji kupata matokeo, mpira wa bongo ukitaka kushinda lazima ufanye fitina kwa kuhonga marefa, wachezaji wa timu pinzani, au kupuliza hewa ya sumu timu pinzani kama wanavyofanya Simba! viongozi wa yanga waanze kutafuta ushindi nje ya uwanja kama wanavyofanya simba
Mbinu za 5imba huwa zinakwama kwa Libolo na UD Songo.
 
Wewe ndo mpuuzi kwa sababu hujui sheria za mpira wa miguu.Kocha(zahera)ndiye mwenye mamlaka yote ya kuzungumzia masuala ya uwanjani,kuhusu kuzungumza wachezaji vibaya kawaida sana tu kama mchezaji anazingua.Tatizo la Zahera ni kuwa anaongea ukweli badala ya blabla ambazo wabongo wengi ndizo wanataka.wanataka uwapapase uwakande n.k.
Suala la kuwaongezea mikataba wachezaji na kusajili sio suala la uongozi ni suala kocha.
Tatizo Zahera...nakumbuka msimu uliopita alimkataa Kakolanya kwa madai ya kugoma kisa acheze Mcongoman mwenzake...Yondani aligoma hakumfukuza maana hakuwa na mbadala...Makambo,Ajibu na Gadiel kuondoka kwao 100% Zahera..wachezaji wanataka waongezewe dau yeye anawaambia viongozi waachane nao..Alafu Zahera ana mdomo mchafu sana huwezi mambo ya kiufundi kuongea hadharani (kama mchezaji ana uzito mkubwa si unataka mashabiki wa Yanga wamchukie mchezaji)...Manji angekuwa mwenyekiti Zahera zamani kafukuzwa
 
Ni upepo tu,na huwa inatokea pale EAR kila mtu unatoa maoni yake kama shabiki,hata wewe unaweza kwenda pale,Goza Chuma anawaarika mashabiki wa kawaida kabisa
Kama kawaida yangu kwanzia saa sita kamili siku za jumatatu hadi ijumaa uwa nasikiliza east Africa radio kipindi cha kipinga extra. Pale unakutana na mashabiki mbali mbali wa timu zetu hasa pendwa Simba na Yanga. Jana kulikua na mashabiki wa Yanga wakiongozwa na Jimy kindoki.
Sasa kulikua na mada juu ya mechi kati ya Yanga na Polisi Tanzania.
Kilichonifanya niandike ni vile vilio vya mashabiki wa Yanga juu ya muendelezo wa timu yao pendwa.
Kuna mmoja jina kapuni, Yeye alisema Yanga matokeo wanayopata yanasababishwa na viongozi waliopo , kwa sababu kuna watu ambao ndo wamesajili wachezaji wametengwa na timu. Namnukuu, "Sikiliza Bwana Goza( huyu ndo msimamizi wa kipindi) pale Yanga kuna wanachama ndo waliowasajili wachezaji, mfano yule Papy kasajiliwa na flani( jina kapuni) hata Hata kocha Zahera kaletwa na huyo mtu kipindi tunaangaika hatuna kocha na hatuna hela huyo ndo alimleta akamsajili Zahera.. Hata kuja kwa Haruna moshi msimu uliopita aliletwa na hao watu "
Sasa saizi hao wametengwa na viongozi waliopo.
Mara paa akaingia Jimy kindoki, Yeye ka mjumbe wa kamata ya uamasishaji akaulizwa kuhusu ilo, yeye akasema , yeye kama yeye hailewi ka ilo jambo lipo, akaendelea kusema inawezekana lipo yeye hawezi kujua kwa sababu ni la ndani, ila atalifanyia uchunguzi.
Pia akatoa maoni yake kua yeye anaona timu ya Yanga haifanyi vizr kwa sababu wachezaji wamechezewa( akimanisha wamerogwa) namnukuu " haiwezekani Leo inaibuka mchezaji huyu anafanya vizr Kesho mwingine. Ule Sio uwezo wa wachezaji wetu " akaendelea inawezekana wamechezewa humu humu ndani ( ndani ya Yanga) au ni hao majirani zetu ( akimanisha Simba)
Akaja mwingine yeye akasema toka jana ( ilikua alhamisi) nilisema kama wachezaji wetu wakitambua thamani ya Yanga tunashinda. Lakini angalia timu haimalizi mpira ikiwa Kwenye ile ile peak. Timu inacheza kipindi cha kwanza vzri , cha pili hivyo kabisa.
Kilichosabisha nilete hii mada ni hizi hoja tatu hasa ya kwanza na ya pili.
Moja, je, ndani ya Yanga kuna mgogoro ndo unasabibisha timu isipate matokeo? Afu inakuwaje inakuaje ndani ya timu baadhi ya wachezaji wanamilikiwa na watu flani na si timu hadi kocha wa timu?
Pili, Je wachezaji wa Yanga wamerogwa ka alivyosema Jimy kindoki ndo sababu ya Yanga kutopata matokeo?
Tatu, Je, ni kweli wachezaji wa Yanga hawajui ukubwa wa timu ya Yanga ndo mana hawajitumi dakika zote tisini ?
Nini maoni mwanajamii forum?
 
Mi naona upo sahihi lakin kwamba Yanga watavurugana hapana.Yanga kama itafanya vizuri na kuingia makundi itaibalance zaidi Yanga kwa kuwa mwakani bado timu 4 zitashiriki kimataifa.Ubingwa hata akibeba simba lakin Yanga ikifanikiwa katika baadhi ya mambo basi Yanga itakaa powa
Ubovu wa yanga unayokana na uzuri wa simba.
Hizi timu za kariakoo zina ugonjwa fulani. Mmoja akifanya vizuri mwingine anachanganyikiwa na kufanya vibaya. Haijawahi tokea simba na yanga zote zikawa ktk ubora wa juu..yanga ikipanda simba inachanganyìkiwa na simba ikipanda yanga wanavurugana.
Ila bahati mbaya ni kwamba simba itakuwa juu kwa muda sasa hivi hivyo yanga wajipange kuvurugana kwa muda kidogo.
 
Uko sahihi kwa 100%. Mwinyi Zahera ndiye chanzo cha matatizo kwenye klabu yetu. Hakuna asiyetambua mchango wake wa hamasa msimu uliopita.

Lakini ukija kwenye suala la familia, jamaa ni mweupe sana. Labda kwa sababu ana uraia wa Ufaransa, basi na yeye anajifanya ni Mzungu. Hana sifa ya kuishi na wachezaji kama watoto au wadogo zake kama ilivyokua kwa mtangulizi wake Lwandamina! Ni mtu wa kupenda kujivua lawama muda wote na badala yake kuwasukumizia wachezaji, Tff, Bodi ya ligi, nk.

Aliwaondoa wachezaji wengi muhimu msimu uliopita bila sababu zenye mashiko! Amechelewa kujiunga na pre season kwa sababu ya mapumziko yake binafsi ulaya! Amesajili wachezaji wengi wa kawaida mpaka unajiuliza hivi aliwaza nini! Mchezaji kama Ali Ali! Mimi hata aondoke kesho naona poa.
Leo Zahera hujui kuishi na wachezaji,huu niunafiki wa kiwango cha PHD.
 
Kama anaishi nao vizuri, iweje wachezaji wengi mfano Mwinyi Haji Mngwali waondoke kwa manung'uniko? Ilishindikana vipi kukaa mapema na wachezaji muhimu kwenye timu kama Gadiel Michael ili kuwapa mikataba mipya badala ya kubariki kuondoka kwao na mwisho wa siku timu kuokoteza mabeki wa kati kama Ali Sonso, ili wacheze pembeni?

Penye ukweli ni lazima tuuseme. Mwinyi Zahera ni mzinguaji tu. Aondoke mapema iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom