Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni wachezaji waliokusanywa toka timu mbalimbali na kwa sasa kila mmoja anacheza kwa ujuzi wake mpaka hapo watakapofanya mazoezi ya pamoja na kuelewana.Kwa uchezaji huu ni dhahiri yanga hawakuwa na maandalizi mazuri.
SI NI HAWA HAWA WALIKUWA WANAWAFUNGA WATU AVIC TOWN PALE??? TENA MAGOLI KEDEKEDEHawa ni wachezaji waliokusanywa toka timu mbalimbali na kwa sasa kila mmoja anacheza kwa ujuzi wake mpaka hapo watakapofanya mazoezi ya pamoja na kuelewana.