Yanga dhidi ya Vipers 0-1 mpira unaendelea

lui03152

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2020
Posts
266
Reaction score
377
Kwa uchezaji huu ni dhahiri yanga hawakuwa na maandalizi mazuri.
 
Hawa ni wachezaji waliokusanywa toka timu mbalimbali na kwa sasa kila mmoja anacheza kwa ujuzi wake mpaka hapo watakapofanya mazoezi ya pamoja na kuelewana.
 
SI NI HAWA HAWA WALIKUWA WANAWAFUNGA WATU AVIC TOWN PALE??? TENA MAGOLI KEDEKEDE
 
Back
Top Bottom