mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Kupangaia mtu wa mwana habari aandike nini wapi saa ngapi kuhusu Yanga hii sio sahihi, endesha mambo ki ethical usiweke emotional binafsi wewe unawakilisha taasisi unapovamia mtu ni sawa tuone kua taasisi inavamia mtu na kushinikiza isikilizwe vile inataka.
Kama mlimlipa sawa mna haki ya kumkalia kooni, lakini kama hajalipwa acha aweke vitu anavyopenda kuweka ni yeye.
Yanga iko above hizi level za kugombania kuandikwa acha kuaibisha club.