Yanga dirisha dogo la usajili Fanya haya

1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo mkabaji aje kumsaidie Aucho ambayo energy yake inashuka

💯
2 Beki wa kulia wa ndani ya nchi
Yao hana mbadala naona Gamond hamuamini Kibwana japo ya kuwa beki mzuri, labda mifumo ya Gamond imegoma
Nenda pale Azam mlete Paschal Msindo au Chilambo
💯
3 Kwa striker Bado Nina Imani kubwa na Dube, nadhani Kuna vitu anatakiwa aviboreshe ili awe Bora zaidi
💯
4. Mkataba wa Chama unaisha mwisho wa msimu, mpenzi mkono wa kwaheri, ili muingize winger hatari
💯

Chama bado yuko vizuri, na anasaidiana na Pacome, Ki na Maxi na inaounguza maheraha kwasababu ya fatigue. Mechi ni nyingi.

---- Na Gamondi siyo muumini wa mawinga. Anatumia Wingbacks na ndio maana Skudu, Moloko, Okra waliondoka. Cross wanapiga Full backs.
5. Kibabage nafurahia energy yake anakimbiza mno, aboreshe cross ya mwisho atakuwa beki mzuri
Kibabake yuko vizuri. Weakness yake ni Cross na mguu wa kulia hauna nguvu.

Boka ana weakness ya kutojua kukaba, na temper.
6. Punguza rundo la wachezaji, au watoe Kwa mkopo akina Kibwana, shekhan, Mshery Farid n.k watafue changamoto mpya hapo wataharibu vipaji vyao
Hao wachezaji wote ni wachezaji wa ndani, huwezi kuwatoa halafu mbadala wake ni nini?

Squad ina wachezaji 27 na ligi ni nyingi. Kuna team zina squad mpaka ya wachezaji 40.

Mwisho wa siku utataka squad iwe na wachezani 11 tu, kwasababu wengine hawacjezi.
 
Dirisha dogo la usajili linakuja January
Yanga Bado tuna kikosi kizuri mno
Naomba viongozi msivunje timu Kwa kuingiza wachezaji wengi

1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo mkabaji aje kumsaidie Aucho ambayo energy yake inashuka

2 Beki wa kulia wa ndani ya nchi
Yao hana mbadala naona Gamond hamuamini Kibwana japo ya kuwa beki mzuri, labda mifumo ya Gamond imegoma
Nenda pale Azam mlete Paschal Msindo au Chilambo

3 Kwa striker Bado Nina Imani kubwa na Dube, nadhani Kuna vitu anatakiwa aviboreshe ili awe Bora zaidi

4. Mkataba wa Chama unaisha mwisho wa msimu, mpenzi mkono wa kwaheri, ili muingize winger hatari

5. Kibabage nafurahia energy yake anakimbiza mno, aboreshe cross ya mwisho atakuwa beki mzuri

6. Punguza rundo la wachezaji, au watoe Kwa mkopo akina Kibwana, shekhan, Mshery Farid n.k watafue changamoto mpya hapo wataharibu vipaji vyao
Uko sahihi maeneo mengi. Hakika Khalidi Aucho na Yao Kwasi wanahitaji wachezaji mbadala wa kuwachallenge!

Kennedy Musonda na Baleke na wenyewe kwa sasa wanakula tu mshahara. Hivyo kama kuna uwezekano atafutwe kiungo mkabaji mmoja na mshambuliaji wa uhakika mmoja. (Maana tangu aondoke Mayele, pale mbele hapajatulia kabisa)

Naunga mkono Kibwana, Mshery na Farid Mussa kupewa mkono wa kwa heri ili wapishe wachezaji wapya wa ndani wenye vipaji. Ila kwa dogo Shekhan, nadhani angeendelea kupewa muda. Maana yule dogo ana kitu. Chama naye bado anastahili mwaka mwingine kwa mtazamo wangu.
 
Dirisha dogo la usajili linakuja January
Yanga Bado tuna kikosi kizuri mno
Naomba viongozi msivunje timu Kwa kuingiza wachezaji wengi

1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo mkabaji aje kumsaidie Aucho ambayo energy yake inashuka

2 Beki wa kulia wa ndani ya nchi
Yao hana mbadala naona Gamond hamuamini Kibwana japo ya kuwa beki mzuri, labda mifumo ya Gamond imegoma
Nenda pale Azam mlete Paschal Msindo au Chilambo

3 Kwa striker Bado Nina Imani kubwa na Dube, nadhani Kuna vitu anatakiwa aviboreshe ili awe Bora zaidi

4. Mkataba wa Chama unaisha mwisho wa msimu, mpenzi mkono wa kwaheri, ili muingize winger hatari

5. Kibabage nafurahia energy yake anakimbiza mno, aboreshe cross ya mwisho atakuwa beki mzuri

6. Punguza rundo la wachezaji, au watoe Kwa mkopo akina Kibwana, shekhan, Mshery Farid n.k watafue changamoto mpya hapo wataharibu vipaji vyao
#. 6 mmmhhh.
 
Yanga inahitaji beki wa kati 1 tu! Andambwile si beki! Kama wataweza kumpata Mzawa kama Lameki lawi au yule mzanzibar beki wa mashujaa Ame ingekaa poa.
 
Kila mwana Simba ni mbumbumbu Kwa mjibu wa Rage
Mashabiki wa Yanga ndo Mambumbu,mbwa au manyani

Kwa mujibu wa Luc kocha la bolu
IMG-20241008-WA0002.jpg
 
Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa
Lucy alivyowaita nyie ni Sokwe a.k.a Manyani hukumuelewa? Manara alivyowaanbia hamna akili na mpaka leo hajatengua kauli yake ingawa bado yupo kwenu hujamuelewa bado?
 
Mbumbumbu
 
Dirisha dogo la usajili linakuja January
Yanga Bado tuna kikosi kizuri mno
Naomba viongozi msivunje timu Kwa kuingiza wachezaji wengi

1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo mkabaji aje kumsaidie Aucho ambayo energy yake inashuka

2 Beki wa kulia wa ndani ya nchi
Yao hana mbadala naona Gamond hamuamini Kibwana japo ya kuwa beki mzuri, labda mifumo ya Gamond imegoma
Nenda pale Azam mlete Paschal Msindo au Chilambo

3 Kwa striker Bado Nina Imani kubwa na Dube, nadhani Kuna vitu anatakiwa aviboreshe ili awe Bora zaidi

4. Mkataba wa Chama unaisha mwisho wa msimu, mpenzi mkono wa kwaheri, ili muingize winger hatari

5. Kibabage nafurahia energy yake anakimbiza mno, aboreshe cross ya mwisho atakuwa beki mzuri

6. Punguza rundo la wachezaji, au watoe Kwa mkopo akina Kibwana, shekhan, Mshery Farid n.k watafue changamoto mpya hapo wataharibu vipaji vyao
Kwa kibabage sidhani, Boka arejee mapema iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom