Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Angekuwa hai mafisango ningewambia alivyoteseka..nasikitika wachezaji.wengi wetu awataki kufanya juhudi wanadili kupiga watu misumari yupo mmoja simba mpaka akutane na kigingi akakimbilia oman...donald.mshike mungu.sana same.to niyonzima.mshiken mungu eelimuhiyo sio mpya ipo..n mwokozi yesu mwenye kuwaokoa na kama nduguzetu waislam mkasali sana sana ..else uwanjan kuna.mambo makubwa zaidi muyaonayo uwanjani..ukipata bahatiya kutoka nje ukauliza.mchezaji aliekosa sana.magoli atakwambia.alikuwa anaona nn ama.anaona goli likowap
mola awalinde achanen.hizo busn
mola awalinde achanen.hizo busn