Yanga: Dube akikaribia goli, taa inapunguzwa mwanga asione goli

Yanga: Dube akikaribia goli, taa inapunguzwa mwanga asione goli

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20241110_204415_Chrome.jpg

Dube wetu ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi.

Haya ni maneno ya msemaji wa Yanga Ally Kamwe, akitoa taarifa kwa niaba ya club

My Take
Hata mimi niliona Azizi Ki alipopiga penati wakahamisha magoli
 
View attachment 3148898

Binafsi mimi ni Simba, kuhusu swala la Dube, haya maneno ya msemaj labda hapo sahihi ila hayana umuhimu kwasas.
Niliwahi onana na Dube Tanga baada ya match Coast vs Azam Dube ni mtu determined sana na anajua anachokitaka na nn afanye akipate. Tutarajie makubwa kutoka kwake
 
Huyu ni kiongozi wa taasisi inayodai inaendeshwa kwa weledi.Mkuu wa Idara ya Habari!Hao wengine wakoje?Haji Manara ni mpuuzi lakini kwenye lile alilosema nadiriki kusema alisema kweli.Tafakari.
Huko kwenye kwenye kitengo cha sheria Yanga wanataka kununua mchezaji Mwanasheria anatayarisha mkataba Yanga ni seller na Singida Fountain Gate ni buyer!
Mfanyakazi mwingine anadai alikuwa anatoa ndogo Azam wakaweka camera hamna faragha.
Tafakari.
 
Kiujumla Yanga wanapasawa wajiangalie utoto ni mwingi sana
 
Back
Top Bottom