OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii njiti akili alikabidhi kwa nani, mbona alikuwa timamuNikikumbuka hii clip nacheka sana
Halafu tuwekege akiba ya maneno
Avic bushNa huko kmc mkifungwa sijui mtaahamia wapi
Binafsi mimi ni Simba, kuhusu swala la Dube, haya maneno ya msemaj labda hapo sahihi ila hayana umuhimu kwasas.View attachment 3148898
Dube wetu ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi.
Haya ni maneno ya msemaji wa Yanga Ally Kamwe, akitoa taarifa kwa niaba ya club
My Take
Hata mimi niliona Azizi Ki alipopiga penati wakahamisha magoli
Wezi hao kamata hao wamekimbiaaa hawajageuka nyumaaa....!Nikikumbuka hii clip nacheka sana
Halafu tuwekege akiba ya maneno