Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ndio ushauri wangu kwa viongozi na wachezaji wa Yanga ili tusije kujikuta tunakosa ubingwa au kutwaa ubingwa dakika za mwisho kabisa.
Sifa kwa Yanga zikiwemo sifa kwa wachezaji binafsi, ni nyingi sana(off course mnastahili), ila nawashauri zisiwafanye mlewe sifa mkawa na overcofidence ikaja ikatugharimu huko mbeleni.
Watu wa benchi la ufundi na wengine wanaohusika hakikisheni wachezaji wanawaweka sawa kiasaikolijia kuhusu hili ili kila mechi waione ni ngumu na kwamba hakuna timu rahisi na ubingwa bado.
Zaidi, Mayele sifa unazopewa leo hii, zipokee ila zitakuwa na maana zaidi kwako pale tu Yanga itapotwaa ubingwa ingawa unaweza kupata timu kubwa zaidi ya Yanga siku za mbeleni.