Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
English vs Portugees. Just the same personHuyu Micksone ni mchezaji wa timu gani?
Msimrudishe yoyote,Hapa kwa juma Abdul nakubali tulikosea kabisa na yondani pia .
Ila hapo ulipotuita uto usbindwe mkia wewe
Beki zenyewe ndo zile kina onyango labda muwafunge gwambinaMsimrudishe yoyote,
Tunataka kupiga mtu goli 10 hapo mwezi wa 10
Wanaojua mpira wameelewaAcha akili za kukalili kaondoka CR7 madrdid ijekuwa yondani au juma?? Kama unaweza wasajili wewe
Kabisa,km Juma Abdul akiongezwa walau kikosi kitabalance kimtindo. Yanga bado inatia shaka sana sehemu ya ulinzi kulia na kushoto.Daah kweli aisee hii Simba kwa jinsi nilivyoiona jana wanaweza kuja kutupiga 5 kama kipindi kile, jamaa kikosi chao kinatisha.
Timu yangu Yanga tufanye kweli kuepuka aibu za kujitakia.
Yanga sijui tu wamelogwa na nani.wameacha wachezaji wazuri sana kama J.Abduli,Ngasa.hata Papaa Molinga na Yondani ni wachezaji wazuri tu.
Yanga mchezaji akidai stahiki zake anakuwa mbaya hana nidhamu.mpira ni pesa sio ujanjaujanja.
Nadhani ndio wale wale waliokuwa wakiamini kuwa kuondoka kwa Emmanuel OKWI kungeleta mtikisiko mkubwa sana klabuni Simba.Acha akili za kukalili kaondoka CR7 madrdid ijekuwa yondani au juma?? Kama unaweza wasajili wewe
Kweli kabisa, pia Jaffary na Yondani.Kwa namna nikivyoiona Simba ikicheza jana,kwa ile speed na ujanja ujanja wa akina Morrison,Micksone,Bwallya,na wengineo ni dhahiri yule dogo aliyetoka Mtibwa A.Shomari hatoweza kupambana nao. Uzoefu ni kitu cha muhimu.
Nawashauri viongozi wa Yanga aka Uto.watafakari tena na ikibidi wamrudishe haraka J.Abdul haraka kundini,la sivyo kuna balaa linaweza kuwakuta tar.18.10.2020. Abdul bado ni mchezaji mzuri hasa akikutana na wachezaji wazuri maana ye ni mtaalamu wa kumwaga maji.
Naona Troisième Ceil kabadilishana na demigodDaah kweli aisee hii Simba kwa jinsi nilivyoiona jana wanaweza kuja kutupiga 5 kama kipindi kile, jamaa kikosi chao kinatisha.
Timu yangu Yanga tufanye kweli kuepuka aibu za kujitakia.
We kumbuka yanga wana no 2 boxer,hawana shida ya juma abdulKwa namna nikivyoiona Simba ikicheza jana,kwa ile speed na ujanja ujanja wa akina Morrison,Micksone,Bwallya,na wengineo ni dhahiri yule dogo aliyetoka Mtibwa A.Shomari hatoweza kupambana nao. Uzoefu ni kitu cha muhimu.
Nawashauri viongozi wa Yanga aka Uto.watafakari tena na ikibidi wamrudishe haraka J.Abdul haraka kundini,la sivyo kuna balaa linaweza kuwakuta tar.18.10.2020. Abdul bado ni mchezaji mzuri hasa akikutana na wachezaji wazuri maana ye ni mtaalamu wa kumwaga maji.
Boxer sio mzuri kwenye kushambulia. Mpira wa kisasa beki wa pembeni ndio msingi wa kutengeneza mashambulizi. Lazma beki awe na speed,uwezo wa kupiga chenga,kupiga basi za haraka na kupiga cross mujarabu. Mwangalie Kapombe,Shabalala au Kangwa wa Azam. Nazani umenielewaWe kumbuka yanga wana no 2 boxer,hawana shida ya juma abdul
huna huo mpira labda kwa kutandaza hongoMsimrudishe yoyote,
Tunataka kupiga mtu goli 10 hapo mwezi wa 10
Uliwahi kumuona dogo akiwa anacheza kabla hajapata majeruhi mwaka jana? Unajua ni kwanini ilibidi Juma abdul asubiri benchi mechi mfululizo!? Unakumbuka kazi iliyokua anaipiga kwenye kikosi cha kili stars CHAN!?Boxer sio mzuri kwenye kushambulia. Mpira wa kisasa beki wa pembeni ndio msingi wa kutengeneza mashambulizi. Lazma beki awe na speed,uwezo wa kupiga chenga,kupiga basi za haraka na kupiga cross mujarabu. Mwangalie Kapombe,Shabalala au Kangwa wa Azam. Nazani umenielewa
Ukitaka uonekane mbaya dai chako. Utopolo wana laana ya kuwadhulumu wachezaji wao na watapata tabu sana miaka kadhaa ijayo. Tutawakera sanaYanga sijui tu wamelogwa na nani.wameacha wachezaji wazuri sana kama J.Abduli,Ngasa.hata Papaa Molinga na Yondani ni wachezaji wazuri tu.
Yanga mchezaji akidai stahiki zake anakuwa mbaya hana nidhamu.mpira ni pesa sio ujanjaujanja.