Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Kwa namna nikivyoiona Simba ikicheza jana, kwa ile speed na ujanja ujanja wa akina Morrison, Micksone, Bwallya na wengineo ni dhahiri yule dogo aliyetoka Mtibwa A.Shomari hatoweza kupambana nao. Uzoefu ni kitu cha muhimu.
Nawashauri viongozi wa Yanga aka Uto.watafakari tena na ikibidi wamrudishe haraka J.Abdul haraka kundini,la sivyo kuna balaa linaweza kuwakuta tar.18.10.2020. Abdul bado ni mchezaji mzuri hasa akikutana na wachezaji wazuri maana ye ni mtaalamu wa kumwaga maji.