Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Unadhani kuziba macho ndo ujanja?Naamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani kuziba macho ndo ujanja?Naamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Ukweli anaujua ila anajitoa ufahamuTambwe yuko vizuri ni bonge la striker, ndio maana hata wewe umeleta uzi hapa kumsifia kwa kazi nzuri anayofanya ya kutupia magoli
Una visa na Wagogo wewe.Mkuu GENTAMYCINE ulishawahi kuona Wagogo wa mjini wana furaha? Huwezi ona omba omba akawa na furaha hata siku moja, njaa ni kitu kibaya sana na ndiyo maana wahenga wanasema ukitaka kumtesa adui yako muombee njaa. Unataka Tambwe ashangiliaje wakati ana njaa? Wagogo wa Jangwani (Yanga) wanajihaibisha wenyewe, kila kukicha wanapitisha makopo ya michango misikitini, utaishije namna hii?
Una visa na Wagogo wewe.
Kwani Yanga anaomba achangiwe na nani nielekeze mie sielewiSi kweli, vijiweni ndivyo wanavyoitwa Yanga siku hizi...."Wagogo wa Jangwani.".
Let us honest Kiongozi. Yanga wanajichangisha wenyewe. Hawaombi kwa Simba wala Azam. Ndiyo reality.Si kweli, vijiweni ndivyo wanavyoitwa Yanga siku hizi...."Wagogo wa Jangwani.".
Let us honest Kiongozi. Yanga wanajichangisha wenyewe. Hawaombi kwa Simba wala Azam. Ndiyo reality.
Simba so far kila kitu anafanya Mo. Hiyo kampuni bado inaweka misingi hopefully ije ifike mahali ianze ku generate income. Sio leo wala kesho.
Maana yake: Yanga inaendeshwa na wanachama. Simba inaendeshwa na Mo.
Kwani Yanga anaomba achangiwe na nani nielekeze mie sielewi
Tumechangiwa na Mashujaa wa Kigoma muda mfupi uliopita.Majuzi pale msikitini (Jangwani) watu waliombwa michango kusaidia "Wagogo wa Jangwani," na hata ukipata pale klabuni kwao utaona lile bango la kuomba wanachama kuchangia Wagogo wao. Kocha wa Wagogo pia alisikika akisema kuwa wanachama wachangie timu yao, wewe mwanamme wa Dar unakuja hapa kubisha, why?
ahhh habari hii ni uzushi kabisa na aitakiwi kuaminikaTumechangiwa na Mashujaa wa Kigoma muda mfupi uliopita.
Habari ya kuaminika kabisa. From a reliable source.ahhh habari hii ni uzushi kabisa na aitakiwi kuaminika
Mi cjawahi kumuona mkuu weka kapicha tumuone tuchangie.Naamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
It doesn't matter. Kwani goal alilofunga linakuwa nullified?Naamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Naamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Mpira na bunduki wapi nawapiNaamini hapa ' message sent and delivered ' vizuri tu.
Nawasilisha.
Injinia soma hiyooo
Ni #hattrik mkuu
Kashangilia Makambako eti kawafunga Jkt angefunga goli kama la chama angevua sijui mpaka nn.
Leo Tambwe kaona vitu vya kawaida kufunga eti afundishwe mashabiki wa Simba bana naona mmekua wasemaji wa Yanga Fc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kafunga hat trick kwa tukuyu stars afu anashangilia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]